Nikuulize wewe assume mimi ni mme wako na nilizaa na mke mwingine nikamuacha nikakuoa wewe. Nikakuthibitishia kuwa nimeachana na huyo mwanamke. Siku anafariki nahudhuria mazishi yake na nakaa hightable na wananitangaza kuwa huyu ndiye mume wake. Wewe utajisikiaje? Tuache kuwa self centre, Diamond na familia yake pamoja na marafiki zao walisononeka sana. Je, unaweza kubisha wale waliosema kuwa watoto wanafanana na Ivan. Think outside the box, sisemi asingehudhuria ila angalihudhuria kama watu wengine si kupewa heshima ya mke!!!!!! Nadhani wanaume wa JF ambao ni watu wazima watasaidia kwa hili ila wavulana na akinamama najua mtapinga