Macho yote ya familia ya zarina hassan mzazi mwenzie diamond pamoja na wana familia wote kutoka sehemu mbali mbali wanazo ishi wamekusanyika kumjulia hali mama yao anaye sumbuliwa na maradhi ya moyo kutokana na kua mgonjwa mahututi mana yupo under intensive care unit (ICU)
Chakushangaza wewe diamond unafanya home party kwa furaha ukishika misambwanda ya wadada mbalimbali ulio waalika madale kipindi ambacho mzazi mwenzio yupo kwenye matatizo, dogo haya maisha tu leo hii una party kesho kitandani hoi sisi ni binadamu tunapita kama shabiki umenikera sana mkeo kutwa ana omba tumuombee bibi tiffa wewe unakula happy na video una rekodi uo ni ushamba na kukosa utu, hivi ange umwa mama yako zari afanye party kwao aalike midume ungefurahi? Tabia mbaya baba tiffa.
[emoji57][emoji57][emoji57][emoji20]
Video inagoma kupandisha wataalamu ileteni