Diamond Platnumz uwe na utu!

Diamond Platnumz uwe na utu!

Mwenyewe ananikera sana siku hizi huyu mondi. Najaribu kuto mix maisha yake ya kazi na binafsi lakin nashindwa

Ndio maana zari anamuita mwanae Tiffah Hassan.

Sent from my MI NOTE LTE using JamiiForums mobile app

Ha ha haaaa

Hajui tu ameshaanza kuboa wengi sana sana haupo peke yako.

Nimeiona hiyo ya jina leo.
 
Macho yote ya familia ya zarina hassan mzazi mwenzie diamond pamoja na wana familia wote kutoka sehemu mbali mbali wanazo ishi wamekusanyika kumjulia hali mama yao anaye sumbuliwa na maradhi ya moyo kutokana na kua mgonjwa mahututi mana yupo under intensive care unit (ICU)
Chakushangaza wewe diamond unafanya home party kwa furaha ukishika misambwanda ya wadada mbalimbali ulio waalika madale kipindi ambacho mzazi mwenzio yupo kwenye matatizo, dogo haya maisha tu leo hii una party kesho kitandani hoi sisi ni binadamu tunapita kama shabiki umenikera sana mkeo kutwa ana omba tumuombee bibi tiffa wewe unakula happy na video una rekodi uo ni ushamba na kukosa utu, hivi ange umwa mama yako zari afanye party kwao aalike midume ungefurahi? Tabia mbaya baba tiffa.
[emoji57][emoji57][emoji57][emoji20]
27bd2d24a502d5b34021cc17034f9c82.jpg

c69407fb3a557a9512d18c04d171cfff.jpg

562c1ba0aba2ced15bac3c283bbd71ab.jpg

Video inagoma kupandisha wataalamu ileteni
Duuu kwel we ni pumzihaiuzwi
 
Mara Diamond...
Mara Baba Tiffah...
Mara Dogo..!
Povu juu ya Povu...

Sent from my Iphone-7 plus using JamiiForums Mobile App
 
Mwenyewe ananikera sana siku hizi huyu mondi. Najaribu kuto mix maisha yake ya kazi na binafsi lakin nashindwa

Ndio maana zari anamuita mwanae Tiffah Hassan.

Sent from my MI NOTE LTE using JamiiForums mobile app
Bahati mbaya hauwezi maana wakati anayachanganya mlimsifia na kumpa support kwa alichokuwa anakifanya. Kwa sasa kutenganisha maisha binafsi ya diamond na kazi zake ni ngumu sana. Pole sana.

Sent from my LG-K520 using JamiiForums mobile app
 
Macho yote ya familia ya zarina hassan mzazi mwenzie diamond pamoja na wana familia wote kutoka sehemu mbali mbali wanazo ishi wamekusanyika kumjulia hali mama yao anaye sumbuliwa na maradhi ya moyo kutokana na kua mgonjwa mahututi mana yupo under intensive care unit (ICU)
Chakushangaza wewe diamond unafanya home party kwa furaha ukishika misambwanda ya wadada mbalimbali ulio waalika madale kipindi ambacho mzazi mwenzio yupo kwenye matatizo, dogo haya maisha tu leo hii una party kesho kitandani hoi sisi ni binadamu tunapita kama shabiki umenikera sana mkeo kutwa ana omba tumuombee bibi tiffa wewe unakula happy na video una rekodi uo ni ushamba na kukosa utu, hivi ange umwa mama yako zari afanye party kwao aalike midume ungefurahi? Tabia mbaya baba tiffa.
[emoji57][emoji57][emoji57][emoji20]
27bd2d24a502d5b34021cc17034f9c82.jpg

c69407fb3a557a9512d18c04d171cfff.jpg

562c1ba0aba2ced15bac3c283bbd71ab.jpg

Video inagoma kupandisha wataalamu ileteni
Kwahiyo wewe unavyoona mawasiliano yao yote yapo mitandaoni ....... Usipoona kaandika chochote kuhusu Zari au mtu yeyote basi unahisi kalala hakuna anachokifanya si ndio .......... Kwa hiyo kwa akili yako ilivyo ndogo unaona yale ya mitandao ndio maisha yake kuanzia asubui mpaka jioni .....???
 
Huo ndiyo ukweli.

Kila mtu ana majanga yake inapokuja katika maisha binafsi.

Pia, hizi hela kuna watu wanazipata kwa masharti magumu kwa hiyo vigezo vya kupewa hizo hela ni lazima yazingatiwe regardless who is in trouble.

Kwa mfano, members wote wa FreeM , huwa hawatoi hela zao kwa ajili ya matibabu wala kuwa na huruma na mtu hata akipatwa na msiba.

Kwa hiyo, hili game tukae pembeni tukiwa na popcorns na soda baridi tuendelee kusoma game.

Ninayo , mengi ya ajabu ya kuandika, ila Kwa sababu naogopa ban na defamation naomba nishie hapa.

Nitarudi tena toleo lijalo.
Kwahiyo huyo member incase amefiwa na mwanae inakuwaje?

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
 
acheni shobo ww mtoa mada ndugu zako na rafik zako kibao wameumwa na hujawah kwenda

Sent from my GT-I9300 using JamiiForums mobile app
 
Macho yote ya familia ya zarina hassan mzazi mwenzie diamond pamoja na wana familia wote kutoka sehemu mbali mbali wanazo ishi wamekusanyika kumjulia hali mama yao anaye sumbuliwa na maradhi ya moyo kutokana na kua mgonjwa mahututi mana yupo under intensive care unit (ICU)
Chakushangaza wewe diamond unafanya home party kwa furaha ukishika misambwanda ya wadada mbalimbali ulio waalika madale kipindi ambacho mzazi mwenzio yupo kwenye matatizo, dogo haya maisha tu leo hii una party kesho kitandani hoi sisi ni binadamu tunapita kama shabiki umenikera sana mkeo kutwa ana omba tumuombee bibi tiffa wewe unakula happy na video una rekodi uo ni ushamba na kukosa utu, hivi ange umwa mama yako zari afanye party kwao aalike midume ungefurahi? Tabia mbaya baba tiffa.
[emoji57][emoji57][emoji57][emoji20]
27bd2d24a502d5b34021cc17034f9c82.jpg

c69407fb3a557a9512d18c04d171cfff.jpg

562c1ba0aba2ced15bac3c283bbd71ab.jpg

Video inagoma kupandisha wataalamu ileteni
Tuilete Video ili iweje?
 
Kwahiyo wewe unavyoona mawasiliano yao yote yapo mitandaoni ....... Usipoona kaandika chochote kuhusu Zari au mtu yeyote basi unahisi kalala hakuna anachokifanya si ndio .......... Kwa hiyo kwa akili yako ilivyo ndogo unaona yale ya mitandao ndio maisha yake kuanzia asubui mpaka jioni .....???
Mama chi... hi! Pole kwa povu
 
Back
Top Bottom