Diamond Platnumz uwe na utu!

Diamond Platnumz uwe na utu!

Mwenyewe ananikera sana siku hizi huyu mondi. Najaribu kuto mix maisha yake ya kazi na binafsi lakin nashindwa

Ndio maana zari anamuita mwanae Tiffah Hassan.

Sent from my MI NOTE LTE using JamiiForums mobile app
dawa zimeisha nguvu
 
Acha kukariri nadhani wewe bado ni kijana mdogo. Huwezi jua haya masuala kabla ya kupambana nayo! Hakuna mwanaume ambaye angekubali hata kama ni marafiki tu
ivan alimuoa zari pia amezaa nae watoto wa 3 na diamond alkua mchepuko tuu na bado ni mchepuko tuu
ET asiende kwe msiba wa mme wake kisa domo?
pia alchofanya domo ni ushamba tuu huwezi kumletea rohombaya mama watoto wako

MYB ukibalehe utajua namaanisha nn
 
huyu jamaa ataendeleaga kupiga hela sanaaaaaa,maaana ana ishi maisha ya kisanii haswaaa kama ulayaaa,kua ktk vichwa vya watu ni biashara nzuri sanaaaa iwe kwa ubaya(TEAM KIBA) au kwa uzuri(TEAM MONDI) wote mwamuongelea,lazima alete tena DIAMOND BAGIA APIGE MIKWANJAA MAAANA HIZO KARANGA MAMIFUKO YAKE MTAANI NI KERO KAMA UCHAFU,WATU KUTWA KULAKULA TU MONDI KARANGA.mwisho wa yote dem wake anauguza na yeye anatafuta dawa ya matibabu ya mamaaaa hapo lazima UDSM WAANDAE THE HONOURABLE DR.KWA MONDI TU MAAANA NEVER HAPPEN BEFORE
 
ivan alimuoa zari pia amezaa nae watoto wa 3 na diamond alkua mchepuko tuu na bado ni mchepuko tuu
ET asiende kwe msiba wa mme wake kisa domo?
pia alchofanya domo ni ushamba tuu huwezi kumletea rohombaya mama watoto wako

MYB ukibalehe utajua namaanisha nn
VIJANA WA KIBA BANAAAA,MMEKUA WAKIWAAA BOSS NAONA KAKUBALI YAISHE,TWASUBIR AJE REMIX PART4
 
ivan alimuoa zari pia amezaa nae watoto wa 3 na diamond alkua mchepuko tuu na bado ni mchepuko tuu
ET asiende kwe msiba wa mme wake kisa domo?
pia alchofanya domo ni ushamba tuu huwezi kumletea rohombaya mama watoto wako

MYB ukibalehe utajua namaanisha nn
Wewe ni Me au Ke?
 
Embu jisikitikie kwa uliyoandika shaaaaa
Nikuulize wewe assume mimi ni mme wako na nilizaa na mke mwingine nikamuacha nikakuoa wewe. Nikakuthibitishia kuwa nimeachana na huyo mwanamke. Siku anafariki nahudhuria mazishi yake na nakaa hightable na wananitangaza kuwa huyu ndiye mume wake. Wewe utajisikiaje? Tuache kuwa self centre, Diamond na familia yake pamoja na marafiki zao walisononeka sana. Je, unaweza kubisha wale waliosema kuwa watoto wanafanana na Ivan. Think outside the box, sisemi asingehudhuria ila angalihudhuria kama watu wengine si kupewa heshima ya mke!!!!!! Nadhani wanaume wa JF ambao ni watu wazima watasaidia kwa hili ila wavulana na akinamama najua mtapinga
 
Nimefika kwenye eti wanatangaza eeeeh

Acha uongo Zari hakuzungumziwa kama mke wake bali.... na Mama wa watoto wake. Na wametoka mbali acha kumtetea Naseeb kwenye tabia aliyofanya.

Malizia kusoma mwenyewe au andika mengine, wewe subiri kufikia hayo kama yatakukuta them uje uniandikie.
 
Soma hii hapa: https://globalpublishers.co.tz/tanzia-mume-wa-zari-ivan-ssemwanga-afariki-dunia

Angali kwa kizungu

This is a shocker! Zari Hassan’s husband might not be dead, here’s why Read more: This is a shocker!! Zari Hassan’s husband might not be dead, here’s why
 
Back
Top Bottom