Diamond Platnumz uwe na utu!

acheni shobo ww mtoa mada ndugu zako na rafik zako kibao wameumwa na hujawah kwenda

Sent from my GT-I9300 using JamiiForums mobile app
Chai umekunywa mkuu! [emoji23][emoji23]omo
 
Funguka tu mkuu hamna cha ban , me ndo moderator
 
Watu wengine sijui hua mnawaza kwa kutumia nini

Mrs Van
Hiyo ndiyo difference between males and females na pindi diamond angekuwa anamcontrol zari asingeenda katika maziko yale bila Diamond na wangesema mke wa Diamond ambaye ni mke wa ivan wa zamani. Ndo maana sasa uhusiano unayumba. Najua hutakubali ila wanaume si wavulana watanielewa
 
Kwahiyo huyo member incase amefiwa na mwanae inakuwaje?

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app

Hawaji wanatuma pole japo pia vigezo huwa tofauti tofauti kulingana na cheo / position /title ya mhusika mwenyewe.
 
Funguka tu mkuu hamna cha ban , me ndo moderator


Haaaa haaaa haaaa haaaa teeeh teeeh, kama ulimpa "ban" [HASHTAG]#The[/HASHTAG] bold & [HASHTAG]#Nifah[/HASHTAG], Je. Mimi [HASHTAG]#Poise[/HASHTAG] nitaponaje kufungiwa hata mwezi au mwaka mmoja kabisa!?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…