Diamond Platnumz 'Waaah' Ft Koffi Olomide

[emoji1787][emoji1787] hawaonagi watu wanaweka mpaka title za uwongo ilimradi tu wapate clicks
 
Diamond ni mjanja mjanja tu wa kuteleza kwenye kolabo msisahau kofee Ana mashabiki wengi bongo diamond anajitahidi lakini bado hajafika level za kina davido na wizkid hawafanyi kazi kiujanja janja kwa kubebwa na kolabo halafu hawa jamaa karibu afrika nzima wakiandaa show wanajaza sina kumbukumbu diamond alisha andaa show yake Nigeria au south afrika
 
Usichotka kukubali kwamba ukali wa ngoma ndio kitu pekee kimefanya hiyo collabo ifike hapo....kama koffi ndio kila kitu Basi koffi mwenyew angeweka hyo record..si mashabiki anao?

Na kama kupiga collabo leo hii ni ujanja ujanja..mbna davido amefanya ngoma na breezy na hakuweka hyo record,je koffi anamashabiki wengi duniani kuzid breezy?

Eti ujanja ujanja basi na wengne wafanye huo ujanja ujanja kama ngoma itatembea uone...kufanya na mtu mweny mashabik hakutoi guarantee ya ngoma kutoboa kama ngoma ni mbovu haifiki popote...

Tujifunze kukubali watu wanachofanya..ungetoa zako bless tu ukapita zako...

Fanyeni na nyie collabo kama ni ujanja ujanja[emoji3]
 
 
Siku zote hit songs huwaga inaonekana huitaji kutumia nguvu nyingi,mara sijui mimi nafanya mziki mzuri,mara hii nyimbo funga mwaka,acha number ziongee zenyewe.
 
Siku zote hit songs huwaga inaonekana huitaji kutumia nguvu nyingi,mara sijui mimi nafanya mziki mzuri,mara hii nyimbo funga mwaka,acha number ziongee zenyewe.


 
Alikiba alishawahi kupata views millioni moja ndani ya masaa mawili, sema aliomba uongozi wa youtube wampunguzie views, jamaa hapendi show off kabisa
🤣🤣🤣
 
Alikiba alishawahi kupata views millioni moja ndani ya masaa mawili, sema aliomba uongozi wa youtube wampunguzie views, jamaa hapendi show off kabisa
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Asiyekuelewa hapa akapimwe akili.
 
Afadhali kijana kaamua kupiga muziki hivi sasa si kama zama zile anacheza na kutembea na CD mfukoni, bila kuwa na CD ya playback haimbi. Hongera Diamond kuamua kuwa mwanamuziki wa kweli, bongo fleva haina mvuto na sauti yako ni nzuri kuimba muziki wa live si upuuzi wa playback. Vunja vunja zile CD ulizokuwa unatembea nazo awali.
 
At least jamaa hajaimba mipasho kama yule Nsanii ya Chitohori
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…