Pre GE2025 Diamond Platnumz: Wana Mbeya mnatakiwa kutembea kifua mbele kwa kumchagua Tulia, tusikubali kulipoteza hili jembe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Amwambie Tulia atuletee Pdiddy aje kufanya show kali hapo Lupaso kwa Mkapa
 
Wasanii wa Tanzania wana bahati kuwa na audience ambayo haipo socially or politically aware kama Kenya, Nigeria na South Africa. La sivyo wengi sana wangeshakuwa cancelled maana kiukweli zaidi ya kuburudisha na kustarehesha, wengi ni good for nothing
 
Wanambeya hatumtaki Tulia, achilia mbali huo uraisi wake wa mabunge, uspika wa bunge hata huo ubunge wake tu hautusaidii wanakoma kumwanya.
 
Sasa wewe na akili zako timamu Diamond ni mtu wa kukushauri kuhusu siasa za hii nchi?

Huyu ni mzuri tu katika kukuinua kiuchumi kupitia uchawa na muziki ila maswala ya ushauri maana hata yeye anacheza na upepo wa pesa tu hana alijualo.
Yaani mtu ushauriwe mambo ya kisiasa na Pdidy?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…