Wema na kimbwa chake sijui yupo katika hali gani?
aisee kila siku najifunza kitu kipya....hivi kutangaza mpenzi wako/mkeo ana mimba ni vibaya!!! hivi dunia hii tunayoishi Diamond ndio mtu wa kwanza kutangaza mpenzi wake ana mimba??!!! nimejifunza kitu kipya leo.
Unless kama anatangaza kwa ajili ya kutaka ku-prove kitu coz' hana sababu ya ku-prove kwa yeyote kwa chochote... it's his life awe ana uwezo wa kumpa mimba mwanamke au hana! Lakini ikiwa ametangaza si kwa ajili ya ku-prove chochote na kwa yeyote, binafsi sioni tatizo lolote... Diamond sio mtu wa kwanza na kamwe hatakuwa mtu wa mwisho kutangaza uja uzito wa mwandani wake! Tatizo hapa ni lile lile... kunya anye kuku, akinya bata kaharisha!!
Na hili la kutangaza mademu zake mie nampa big up... hataki unafiki wa wengine! Wasanii karibu wote ni malaya mbwa lakini wanataka kujifanya ni watakatifu mbele ya jamii lakini wanakuja kuumbuka baadae! Sioni sababu ni kwanini mtu ufiche mpenzi wako kama si kwamba unataka uwe unapiga show tofauti tofauti at the same time... wasikilize hata wengine wakati wanahojiwa... wakiulizwa wanatoka na nani, hawasemi kwa sababu wanajua wakisema ni kimbembe... huku kuna X, kule Y upande wa pili kuna Z... atamtaja nani!!! Matokeo yake anaishia kusema "nisingependa kumweka mpenzi wangu hadharani" X akisikia hivyo, anadhani ni yeye, hali kadhalika Y nae anadhani ni yeye na hivyo hivyo kwa Z... yaani tafrani mtindo mmoja!!!
atakuja kustuka ivan anachukua mtoto wake hao wanawake sio wa kuamini sana
hili game walichezalo diamond hawezi kushinda!
mi niliaga na walinisindikiza na mdundiko....mchawi mpe mtoto akulelee
atakuja kustuka ivan anachukua mtoto wake hao wanawake sio wa kuamini sana
Wacha na mm nkatangaze buana!!
Tatizo lako Matola unamuona Muuza Sura kama Mungu mtu anayejua kila kitu hapa mjini... kwangu mimi yeye hana tofauti yoyote na wewe au yeyote yule anayependa kuji-mix na ma-celebs... !! Hawa watu wangekuwa wanafahamu undani wa watu kama wanvyotaka tuamini basi wangetuletea Breaking News za Zari na Diamond kabla kila kitu hakijakuwa hadharani... kama unakumbuka, hata wewe mwanzoni kabisa ulikuwa unabisha kwamba Diamond alikuwa anatoka na Zari na hata uliponihoji nami nikasema wazi kwamba hata mimi I doubt coz' for what I know Zari ni mpenda mafoto na celebs... hata hivyo nilihitimisha kwa kukueleza kwamba, kwenye mapenzi, kila kitu kinawezekana!NasDaz wasome watu waliopo jikoni, bandiko hili limebeba mengi nadhani unamjuwa muuza sura yupo flexible na kwenye maceleb anayajuwa mengi behind the scene.
Unajuwa ngoja nikueleze kitu Mungu yupo lakini mengine ni utashi wa binadamu,
Binafsi kabla ya kubarikiwa kupata mtoto, mwanamke zilishamtokea misscarry mimba mbili za miezi kadhaa.
Naishia hapo wanawake wakikwambia kitu usiwabeze.
Unajuwa ngoja nikueleze kitu Mungu yupo lakini mengine ni utashi wa binadamu,
Binafsi kabla ya kubarikiwa kupata mtoto, mwanamke zilishamtokea misscarry mimba mbili za miezi kadhaa.
Naishia hapo wanawake wakikwambia kitu usiwabeze.
tangaza mkuu it's a free world anyway
hahahaa
kutangaza ni makubaliano ya wahusika wawili.....wakiafikiana hamna shida,mbaya kama mwanamke kasema tusitangaze wewe ukatangaza.....hamna sehemu niliyombeza mtu ila ni ajabu kwa mtu anaeamini Mungu kuwa na imani za kishirikina, analopanga Mungu binadamu hawezi kupangua hii ni kwa wanaoamini Mungu.
Ngoma ya rj kamfichia ndugu yake aibu...
Uhuru wa kufanya ushuzi kama huo.....kwan alipokuwa anaruka ruka hapo juu yake alitushirikisha?? Atumie uhuru
ndo ashatangaza tayar
Uhuru wa kufanya ushuzi kama huo.....kwan alipokuwa anaruka ruka hapo juu yake alitushirikisha?? Atumie uhuru pia kutangaza hilo hahaha
tangaza mkuu it's a free world anyway
hahahaa
Ngoma ya rj kamfichia ndugu yake aibu...