Diamond Plutnumz atangaza Mimba ya Zari thebosslady Rasmi

Chibu kawashka watu akili,yy sio mjinga kupost vle na anachoangalia yy sio kuzaa na Zari hapana,yy anafocus kumek pesa yy pamoja na uongoz wake,na anayepost sio yy ni uongoz wake,wenyewe wanajua jinc wanavyopga pesa kupitia majungu ya raia na matuc,dimond bado dogo sana itafika wakat atatulia na kutafuta mke na watt ila kwasasa anachezea akili za watu ili apge pesa nyng fasta kabla hajachuja...wajinga ndio waliwao yaan jitu kutwa nzima linabishana tu kwenye accounts za watu insta,fb,twtter bila kujua kwamba anawaingizia wajanja pesa.
 

pamoja saana mkuu salute!!!!!!!!!
 

Diamond anajua kucheza na media na ataendelea kuwa msanii bora miaka mitano ijayo
 
pamoja saana mkuu mambo ya furaha tu yanamfanya mtu afunguke
 

Teh Teh nifah happy new month! una mkumbuka huyu binti?
 

Attachments

  • 1422965807752.jpg
    22.7 KB · Views: 284
Last edited by a moderator:
Diamond anajua kucheza na media na ataendelea kuwa msanii bora miaka mitano ijayo

Umeongea ukwel aisee,na mm naona dogo hajakosea wala hakosei anachokifanya coz ni game tu la kusaka pesa ili muda wake ukipita atabaki kuheshimika kwa pesa na maisha bora...mzik bila ujanja ujanja utaishia sifa za kijinga kama kk Mr.N
 
ni furaha tu mkuu huyu diamond furaha imemzidi ndio maana anakua haamini kama yu mbioni kuitwa baba

naelewa situation alonayo chibu.
Kama unaexpect mtoto unatamani dunia nzima ijue yaani, hata sijui nisemeje kwa kweli.
Ila inabidi ujitahidi kuficha tu maana mimba zina mengi ati, inaweza kutoka watu wakasema umeitoa kumbe huwa zinatokaga tu zenyewe hasa hizi chini ya miezi mitatu
 

dogo kafurahi sana!!!!!!!!!!
 

nikwel mimba zina mengi sana ila chibu furaha ndo imemfanya afunguke anakua kama haamini vile
 
nikwel mimba zina mengi sana ila chibu furaha ndo imemfanya afunguke anakua kama haamini vile

Hii ngumu kuingia akilini mwa mtu anayefikiri vizuri.

Diamond ana miaka 25 tu wala hana miaka 60 kwamba awe desperate kiasi hicho utadhani ni mwanamke wa wa miaka 50.
 
Duh! Huu uzi mbona watu wamefunguka sana.. Magazeti .?!
 
Kama inaleta hela basi ina-make sense....Win win situation,baraka yenye heri.
 
safi sana dangote ahh tugawane mdogo wangu unajilia miutamu tu kwa huyu manzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…