Diamond Plutnumz atangaza Mimba ya Zari thebosslady Rasmi

Diamond Plutnumz atangaza Mimba ya Zari thebosslady Rasmi

Chibu kawashka watu akili,yy sio mjinga kupost vle na anachoangalia yy sio kuzaa na Zari hapana,yy anafocus kumek pesa yy pamoja na uongoz wake,na anayepost sio yy ni uongoz wake,wenyewe wanajua jinc wanavyopga pesa kupitia majungu ya raia na matuc,dimond bado dogo sana itafika wakat atatulia na kutafuta mke na watt ila kwasasa anachezea akili za watu ili apge pesa nyng fasta kabla hajachuja...wajinga ndio waliwao yaan jitu kutwa nzima linabishana tu kwenye accounts za watu insta,fb,twtter bila kujua kwamba anawaingizia wajanja pesa.
 
Watu myazani nyie hamna wapenzi wenu.

Yanawahuu nini watu wakipendana au mnataka kwenda kusaidia kuwalaza wanapotaka kupimzika.

Mnatia aibu sana, maisha ni yake kutwa stars wa ulaya hata wakiua mnashinda mnasikiliza miziki yao. Hamuongei hata wakikaa u.chi mpo kishabikia.

Zari mwacheni ma mkome kutukana waganda kama wamewazidi nanyi mkajifunze.

Faida sijui nani nani kwani wamewaomba chumvi kupikia?

Watakieni mema, na sio kukaa kuomba mabaya kwa binadamu wenzenu.

Nimeamini ma stress yenu mengi ni mnayatolea kwa wivu kwa wasiowahuuuuuu

Fikirieni kuendelea, thread inakutia kinyaaa sepa unasoma iweje utajiumiza moyo.

pamoja saana mkuu salute!!!!!!!!!
 
Chibu kawashka watu akili,yy sio mjinga kupost vle na anachoangalia yy sio kuzaa na Zari hapana,yy anafocus kumek pesa yy pamoja na uongoz wake,na anayepost sio yy ni uongoz wake,wenyewe wanajua jinc wanavyopga pesa kupitia majungu ya raia na matuc,dimond bado dogo sana itafika wakat atatulia na kutafuta mke na watt ila kwasasa anachezea akili za watu ili apge pesa nyng fasta kabla hajachuja...wajinga ndio waliwao yaan jitu kutwa nzima linabishana tu kwenye accounts za watu insta,fb,twtter bila kujua kwamba anawaingizia wajanja pesa.

Diamond anajua kucheza na media na ataendelea kuwa msanii bora miaka mitano ijayo
 
Mambo ya meselebriti wetu wakati mwingine yanashangaza kidogo. Nafikiri Diamond amekuwa anaumizwa mno kutokuzalisha mwanamke yeyote kati ya aliowahi kutembea nao, na hivyo matokeo ya sasa yanampa nafuu na kumfanya akiuke mambo ya msingi labda kutokana na furaha nyingi aliyo nayo.

Watu wanaojua mechanics za mimba, tulifundishwa kuwa tusinunue mbeleko kabla hatujamwona mtoto. Na vile vile tumeendelea kufundishwa kuwa hata kama kitanda hakizai haramu, siyo kila mimba ya girlfriend wako imetoka kwako. Nimesoma majuzi kuwa kuna jamaa mmoja pale Uganda amelea mtoto kwa miaka saba akaja kugundua siyo wake. Diamond angetulia tu na kuyaacha haya mambo yajipange yenyewe, siyo yeye kuwa anatanguliza matangazo ya picha za ultrasound na kuonyesha ukubwa wa tumbo la mama. Nadhani alianza kutoa matangazo haya siku chache kabla hajaenda Burundi na Rwanda ikiwa ni muda mfupi baada ya kuishi na Zari pale Kampala kwa kusema wasichana wa zamani hawakutaka kumbebea mimba....

Kama baraka ya mtoto imeshika huna haja ya kuitangaza, itajitangaza yenyewe.
pamoja saana mkuu mambo ya furaha tu yanamfanya mtu afunguke
 
Kweli kabisa uyasemayo Muuza Sura.Binafsi nilikua sijui uko side gani maana kila nilivyokua nakufuatilia leo unamponda huyu na sumsifia huyu (Kiba & Chibu).
Na...to be honesty,ulinikera sana siku uliyosema Kiba aache kuvaa 'moka' jukwaani abadilike sasa...
Kama sikosei ilikua kwenye ile show ya fiesta.
Ila uko vizuri kiukweli kwa habari (ubuyu) motomoto.Hua sina doubt kabisa na habari zako.

Teh Teh nifah happy new month! una mkumbuka huyu binti?
 
Attachments

  • 1422965807752.jpg
    1422965807752.jpg
    22.7 KB · Views: 284
Last edited by a moderator:
Diamond anajua kucheza na media na ataendelea kuwa msanii bora miaka mitano ijayo

Umeongea ukwel aisee,na mm naona dogo hajakosea wala hakosei anachokifanya coz ni game tu la kusaka pesa ili muda wake ukipita atabaki kuheshimika kwa pesa na maisha bora...mzik bila ujanja ujanja utaishia sifa za kijinga kama kk Mr.N
 
ni furaha tu mkuu huyu diamond furaha imemzidi ndio maana anakua haamini kama yu mbioni kuitwa baba

naelewa situation alonayo chibu.
Kama unaexpect mtoto unatamani dunia nzima ijue yaani, hata sijui nisemeje kwa kweli.
Ila inabidi ujitahidi kuficha tu maana mimba zina mengi ati, inaweza kutoka watu wakasema umeitoa kumbe huwa zinatokaga tu zenyewe hasa hizi chini ya miezi mitatu
 
dogo kafurahi sana!!!!!!!!!!
 
naelewa situation alonayo chibu.
Kama unaexpect mtoto unatamani dunia nzima ijue yaani, hata sijui nisemeje kwa kweli.
Ila inabidi ujitahidi kuficha tu maana mimba zina mengi ati, inaweza kutoka watu wakasema umeitoa kumbe huwa zinatokaga tu zenyewe hasa hizi chini ya miezi mitatu

nikwel mimba zina mengi sana ila chibu furaha ndo imemfanya afunguke anakua kama haamini vile
 
nikwel mimba zina mengi sana ila chibu furaha ndo imemfanya afunguke anakua kama haamini vile

Hii ngumu kuingia akilini mwa mtu anayefikiri vizuri.

Diamond ana miaka 25 tu wala hana miaka 60 kwamba awe desperate kiasi hicho utadhani ni mwanamke wa wa miaka 50.
 
Duh! Huu uzi mbona watu wamefunguka sana.. Magazeti .?!
 
Kama inaleta hela basi ina-make sense....Win win situation,baraka yenye heri.
 
safi sana dangote ahh tugawane mdogo wangu unajilia miutamu tu kwa huyu manzi
 
Back
Top Bottom