Diamond Plutnumz atangaza Mimba ya Zari thebosslady Rasmi

Unajuwa ngoja nikueleze kitu Mungu yupo lakini mengine ni utashi wa binadamu,

Binafsi kabla ya kubarikiwa kupata mtoto, mwanamke zilishamtokea misscarry mimba mbili za miezi kadhaa.

Naishia hapo wanawake wakikwambia kitu usiwabeze.
We Matola ndugu yangu... hebu pumzika kidogo na tafakari!!! Hivi kabisa unaamini mtu kama Wema alikuwa tayari kulea yule? Yaani kabisa unaamini mtu kama Jokate alikuwa tayari kukalisha mata'ko chini na kuanza kule mimbayule? Let's be serious! Hivi kabisa unaamini dizaini ya mademu wa Diamond kuna ambae alikuwa tayari kukalisha makalio chini na kuanza kula udongo wa pemba? Do you? Hawa watu ni watu wazima... hawajaanza kugongwa jana wala leo... mbona huko kote hatusikii kwamba wamepata watoto?? Hivi kweli inawezekana mwanamke alieanza kumegwa tangu enzi hizo na wanaume mbali mbali lakini bado kote asipate mimba? I hate to say this, but wanawake wengi, wakishafikia university tu basi humu njiani wanakuwa wameshachoropoa... wengine sana tu!!!
 
kutangaza ni makubaliano ya wahusika wawili.....wakiafikiana hamna shida,mbaya kama mwanamke kasema tusitangaze wewe ukatangaza.....hamna sehemu niliyombeza mtu ila ni ajabu kwa mtu anaeamini Mungu kuwa na imani za kishirikina, analopanga Mungu binadamu hawezi kupangua hii ni kwa wanaoamini Mungu.

Unakumbuka ile Utra sound ilivyoondolewa fasta? Sikutalajia tena utoto uleule.

Anyway ni maisha yake simlishi hanilishi free Country since 1961.
 
Tatizo lako Matola unamuona Muuza Sura kama Mungu mtu anayejua kila kitu hapa mjini... kwangu mimi yeye hana tofauti yoyote na wewe au yeyote yule anayependa kuji-mix na ma-celebs... !! Hawa watu wangekuwa wanafahamu undani wa watu kama wanvyotaka tuamini basi wangetuletea Breaking News za Zari na Diamond kabla kila kitu hakijakuwa hadharani... kama unakumbuka, hata wewe mwanzoni kabisa ulikuwa unabisha kwamba Diamond alikuwa anatoka na Zari na hata uliponihoji nami nikasema wazi kwamba hata mimi I doubt coz' for what I know Zari ni mpenda mafoto na celebs... hata hivyo nilihitimisha kwa kukueleza kwamba, kwenye mapenzi, kila kitu kinawezekana!

Kwamba Muuza Sura yupo flexible sio kweli hata kidogo... humu jamvini tayari ameshajitanabahisha kwamba yeye ni Team Kiba! Kwamba eti hiyo game Diamond hawezi kushinda ni sawa na dua la kuku... by the way, tukiuliza ni game lipi Muuza Sura anaweza kutujibu? Au ndo yale yale ya akina Ivan kwamba Diamond kamwe hawezi kuzaa na Zari?? Anyway, hata kama Muuza Sura hapo kabla angeweza kuaminika, alikuja kuharibu pale alipoanza kuchukua upande... angeendelea kubaki neutral basi hoja yako ingekuwa na nguvu sana!!! Lakini yote hayo tuyaache... hivi kabisa ndugu yangu unamaani kwamba huyo Muuza Sura anaweza akawa anafahamu undani wa mimba ya Zari zaidi ya Zari mwenyewe? Let's be serious dude! Huyo MS atakuwa anayafahamu yale tu ambae yeyote anaye-interact na celebs atakuwa anayafahamu lakini usitarajie eti atakuwa anafahamu undani wa mtu kama Zari au Diamond!

Muuza Sura mara nyingi anampa credit zake Diamond pale anapostahili lakini huwezi kumpangia Muuza Sura awe neutral wakati hata Rais wako Kikwete ameshindwa kuwa neutral na ni shabiki na promota wa Diamond.

Why double standard?
 
hili game walichezalo diamond hawezi kushinda!

kitu really icho no gaming around na hakuna ajuae usiri wa mwanadam yoyote katika binadam isipokua nafsi ya mwanadam mwenyewe ni shahidi juu ya akitendacho.
 
hili game walichezalo diamond hawezi kushinda!

kitu really icho no gaming around ila ukweli zaidi wanaujua wao wenyewe na nafsi zao hapa duniani hakuna ajuae usiri wa mwanadam yoyote katika binadam isipokua nafsi ya mwanadam mwenyewe ni shahidi juu ya akitendacho.
 
We Matola ndugu yangu... hebu pumzika kidogo na tafakari!!! Hivi kabisa unaamini mtu kama Wema alikuwa tayari kulea yule? Yaani kabisa unaamini mtu kama Jokate alikuwa tayari kukalisha mata'ko chini na kuanza kule mimbayule? Let's be serious! Hivi kabisa unaamini dizaini ya mademu wa Diamond kuna ambae alikuwa tayari kukalisha makalio chini na kuanza kula udongo wa pemba? Do you? Hawa watu ni watu wazima... hawajaanza kugongwa jana wala leo... mbona huko kote hatusikii kwamba wamepata watoto?? Hivi kweli inawezekana mwanamke alieanza kumegwa tangu enzi hizo na wanaume mbali mbali lakini bado kote asipate mimba? I hate to say this, but wanawake wengi, wakishafikia university tu basi humu njiani wanakuwa wameshachoropoa... wengine sana tu!!!

Hivi nikuulize swali dogo tu, mke wako wa ndoa anaweza kukataa kuzaa na wewe? Diamond aliwahi kuoa lini? Au kuzaa hovyo kama Ally Kiba unadhani ule ni ujanja?

Au wao na ujinga wao na umalaya wao unadhani milango yao ya fahamu imekufa?
 
kitu really icho no gaming around ila ukweli zaidi wanaujua wao wenyewe na nafsi zao hapa duniani hakuna ajuae usiri wa mwanadam yoyote katika binadam isipokua nafsi ya mwanadam mwenyewe ni shahidi juu ya akitendacho.

umeongea point nikweli kila nafsi ni shahidi juu ya ikitendacho
 
Ndo ivyo ila siamini kama wema sepetu hawez kuzaa naamini kizaz anacho ila hajaamua tu kuzaa bado mtoto
mwache kwanza acheze na kipopy chake ivony........bado anakula ujana wake......si wajua kila kitu goes with time!!!!!!

yes mamy uwezo wa kuzaa wema anao ila bado anakula ujana tyuuuuuu
 
Hivi nikuulize swali dogo tu, mke wako wa ndoa anaweza kukataa kuzaa na wewe? Diamond aliwahi kuoa lini? Au kuzaa hovyo kama Ally Kiba unadhani ule ni ujanja?

Au wao na ujinga wao na umalaya wao unadhani milango yao ya fahamu imekufa?
Matola, mbona unaenda nje ya mada? Kwani hao akina Wema walikuwa wake wa ndoa au mahawara tu? Ninachosema ni kwamba, aina ya mahawara wa Diamond hawaonekani kama wapo au walikuwa tayari kuacha ujana na kuanza kulea... labda wangefanya hivyo endapo wangekuwa ni wake/wives! Hili tuliiona hata kwa mtu kama Irene Uwoya! Aina ya mademu wa Kiba sio hii ya Diamond ndo maana hawakuona taabu kubeba mimba na kuzilea... ndio maana hata leo ukiiliza mademu aliozaa nao Kiba ni akina nani basi ni wachache tu ndio pengine wanawafahamu!

Kama umeuliza suala la mke anaweza kukataa kubeba mimba, basi labda kama unataka kuhusisha na suala la mama watoto wako ambalo nilisahau tu kulisemea! Kwanza, am very sorry to hear that... kwa wanawake dizaini ya wife wako hawezi kugoma kubeba mimba na miscarriage kwao ipo sana tu... lakini hawa akina Wema na wenzake hakuna cha miscarriage wala nini... hawa, hata kama sio kwa Diamond, huko kwingine huwa wanabeba mimba lakini wanazichoropoa!
 
Muuza Sura mara nyingi anampa credit zake Diamond pale anapostahili lakini huwezi kumpangia Muuza Sura awe neutral wakati hata Rais wako Kikwete ameshindwa kuwa neutral na ni shabiki na promota wa Diamond.

Why double standard?
BIG NO! Sio kwamba namtaka awe neutral... ninachosema ni kwamba as long as tayari ameshajitanabaisha kwamba yeye ni wa upande fulani hawezi tena kuwa credible source of information against mtu asiye wa upande wake! Hata ukiangalia hiyo post yake, imekaa ki-bias...
 
kitu really icho no gaming around ila ukweli zaidi wanaujua wao wenyewe na nafsi zao hapa duniani hakuna ajuae usiri wa mwanadam yoyote katika binadam isipokua nafsi ya mwanadam mwenyewe ni shahidi juu ya akitendacho.
Hapo sasa... inashangaza kuona mwanadamu tena asie karibu na Diamond wala Zari leo anapiga ramli wa kile kitakachotokea....
 
Matola, mbona unaenda nje ya mada? Kwani hao akina Wema walikuwa wake wa ndoa au mahawara tu? Ninachosema ni kwamba, aina ya mahawara wa Diamond hawaonekani kama wapo au walikuwa tayari kuacha ujana na kuanza kulea... labda wangefanya hivyo endapo wangekuwa ni wake/wives! Hili tuliiona hata kwa mtu kama Irene Uwoya! Aina ya mademu wa Kiba sio hii ya Diamond ndo maana hawakuona taabu kubeba mimba na kuzilea... ndio maana hata leo ukiiliza mademu aliozaa nao Kiba ni akina nani basi ni wachache tu ndio pengine wanawafahamu!

Kama umeuliza suala la mke anaweza kukataa kubeba mimba, basi labda kama unataka kuhusisha na suala la mama watoto wako ambalo nilisahau tu kulisemea! Kwanza, am very sorry to hear that... kwa wanawake dizaini ya wife wako hawezi kugoma kubeba mimba na miscarriage kwao ipo sana tu... lakini hawa akina Wema na wenzake hakuna cha miscarriage wala nini... hawa, hata kama sio kwa Diamond, huko kwingine huwa wanabeba mimba lakini wanazichoropoa!

Mkuu unachanganya madesa vibaya mno.

Mimi ningekuwa mshauri wa wasanii mtu yeyote akinigusia swala la kuzaa jibu ni moja tu nitazaa ndani ya ndoa. Fullstop.

Maelezo mengine umejichanganya sana hata nimeshindwa kujuwa na kuelewa ulitaka kuongea nini!! haya ndio madhara ya uandishi wa magazeti.
 
BIG NO! Sio kwamba namtaka awe neutral... ninachosema ni kwamba as long as tayari ameshajitanabaisha kwamba yeye ni wa upande fulani hawezi tena kuwa credible source of information against mtu asiye wa upande wake!

Hapa sasa umejishtaki mwenyewe. No more questions your honor.
 
Mkuu unachanganya madesa vibaya mno.

Mimi ningekuwa mshauri wa wasanii mtu yeyote akinigusia swala la kuzaa jibu ni moja tu nitazaa ndani ya ndoa. Fullstop.

Maelezo mengine umejichanganya sana hata nimeshindwa kujuwa na kuelewa ulitaka kuongea nini!! haya ndio madhara ya uandishi wa magazeti.
Sasa hivi mimi na wewe ni nani anayechanganya madesa? Ni mara ngapi humu jamvini umekuwa ukisema tena kwa bashasha kwamba Diamond hana uwezo wa kumpa mwanamke ujauzito? Kama ungekuwa unataka watu wazae ndani ya ndoa inakuaje tena unashabikia stori za mtu kutokuwa na uwezo wa kumpa mwanamke ujauzito? Na hayo mengine yasiyoeleweka ni yapi? Nyie maneno yenu ni kwamba Diamond hana uwezo wa kumpa mwanamke ujauzito na mie nimekutajia aina ya wanawake wa Diamond ili unieleze ni nani miongoni mwao anayeoonekana kuwa tayari kuacha ujana na aanze kulea... in kinyume na huyo wife wako ambae alikuwa anapata miscarriage! Kwa akina Wema sio miscarriage... usisahau... yote haya yanakuja kutokana na hoja zenu kwamba Chibu hana uwezo wa kumpa mwanamke mimba!
 
Ndo ivyo ila siamini kama wema sepetu hawez kuzaa naamini kizaz anacho ila hajaamua tu kuzaa bado mtoto
mwache kwanza acheze na kipopy chake ivony........bado anakula ujana wake......si wajua kila kitu goes with time!!!!!!
kuna maneno wema alipewa na the late kanumba kuhusu kushika mimba na kwa watu wake wa karibu najua wanayajua,maneno hayo mpaka leo yanamtesa wema sepetu!....ila acha tuamini anakula ujana ila personally siamini
 
kitu really icho no gaming around ila ukweli zaidi wanaujua wao wenyewe na nafsi zao hapa duniani hakuna ajuae usiri wa mwanadam yoyote katika binadam isipokua nafsi ya mwanadam mwenyewe ni shahidi juu ya akitendacho.
hujanielewa ila utakuja kunielewa nilichokuwa namaanisha........kwa kukusaidia tu!game lao lina washiriki wakuu wanne ambao ni wema sepetu,diamond,ivan,king lawrence na washiriki wadogo dogo kina babu tale na rommy jones!.....dhamira ya game hilo ni kusaka umaarufu sambamba na pesa!wivu na visasi vya mapenzi.........suala la mimba kuwa kweli au uwongo nikilizungumzia ntakuwa mnafiki!kama ni kweli basi ni yake diamond kwani kitanda hakizai haramu ila narudia tena hili game walichezalo diamond hawezi kushinda
 
Tatizo lako Matola unamuona Muuza Sura kama Mungu mtu anayejua kila kitu hapa mjini... kwangu mimi yeye hana tofauti yoyote na wewe au yeyote yule anayependa kuji-mix na ma-celebs... !! Hawa watu wangekuwa wanafahamu undani wa watu kama wanvyotaka tuamini basi wangetuletea Breaking News za Zari na Diamond kabla kila kitu hakijakuwa hadharani... kama unakumbuka, hata wewe mwanzoni kabisa ulikuwa unabisha kwamba Diamond alikuwa anatoka na Zari na hata uliponihoji nami nikasema wazi kwamba hata mimi I doubt coz' for what I know Zari ni mpenda mafoto na celebs... hata hivyo nilihitimisha kwa kukueleza kwamba, kwenye mapenzi, kila kitu kinawezekana!

Kwamba Muuza Sura yupo flexible sio kweli hata kidogo... humu jamvini tayari ameshajitanabahisha kwamba yeye ni Team Kiba! Kwamba eti hiyo game Diamond hawezi kushinda ni sawa na dua la kuku... by the way, tukiuliza ni game lipi Muuza Sura anaweza kutujibu? Au ndo yale yale ya akina Ivan kwamba Diamond kamwe hawezi kuzaa na Zari?? Anyway, hata kama Muuza Sura hapo kabla angeweza kuaminika, alikuja kuharibu pale alipoanza kuchukua upande... angeendelea kubaki neutral basi hoja yako ingekuwa na nguvu sana!!! Lakini yote hayo tuyaache... hivi kabisa ndugu yangu unamaani kwamba huyo Muuza Sura anaweza akawa anafahamu undani wa mimba ya Zari zaidi ya Zari mwenyewe? Let's be serious dude! Huyo MS atakuwa anayafahamu yale tu ambae yeyote anaye-interact na celebs atakuwa anayafahamu lakini usitarajie eti atakuwa anafahamu undani wa mtu kama Zari au Diamond!

mkuu umeenda mbali sana!matola ni mwana ambaye ananikubali na mimi namkubali sana!suala la kuanzisha uzi ni utashi wa mtu tu na mimi hizo siyo zangu!sijisifii kwani hamna nikipatacho kujua mambo ya hao unaowaita maceleb ila ingekuwa inalipa trust me hili jukwaa lingejaa habari zilizoanzishwa na mimi ambazo hata kwa shigongo huwezi kuzipata!....kuhusu suala kuwa team flani sijui team flani bado halinizuii kusema ukweli na kama ungekuwa unanifuatilia toka kitambo ungejua!kwa taarifa yako mimi ndo niliwahi kusema ally kiba alizingua kutuvalia moka jukwaani,mimi huyohuyo wayback nilisema ally kiba alivyokuwa kwenye peak alikuwa mjivuni sana kuliko diamond ila kilichomsaidia hakuwa mtu wa media ila wasanii wenzake walikoma,niliwahi kumzungumzia diamond kama, pamoja na yote ila nje ya media dogo ana respect sana!...na hiyo ndo silaha yake kubwa!.....tatizo wabongo wengi ni waoga sana na ndo maana hata zari imekuwa rahisi kupasua anga letu la umaarufu kwa akili yake ndogo aya kiganda aliyotumia!hajatumia nguvu!zari anabenefit sana katika haya mahusiano kuliko diamond!usiniulize kwanini....nahitimisha kwa kusema tena hili game walichezalo diamond hawezi kushinda
 
Back
Top Bottom