Diamond: Saida Karoli ana 25% kila pesa 'Salome' itakayoingiza

Huyo mzee Mutta ni mpigaji kinoma hapo Saida anaweza asipate hata shilling 10, maana nina uhakika hata hiyo nyimbo kutumika kwenye movie ya hollywood chini ya muandaaji Tyler Perry nasikia hakupata hata 100 na ukitaka kujua upigaji wa huyu mzee soma kitabu cha Mr II aka Sugu cha kutoka mtaani mpaka bungeni ndio utajua Sugu amefunguka sana kuna kipindi alipiga kopi kibao za Album ya Sugu afu akampa hela kidogo sana mpaka jamaa akataka kukata tamaa ya kufanya mziki kwa kifupi mzee ni dalali wa siku nyingi na anaweza akasema kuwa Saida alimuuzia rights zote za wimbo.
NB: Tusizani kasaidiwa Saida Karoli hiyo ni hela ya mzee Muta, Saida Karoli halambi hata 100 hapo.
Kweli kabisa!!

Hapo ukute Saida hanufaiki hata kidogo!

Ila inaumiza sana ujue!
 
Mzee Muta ni mfanyabiashara anawekeza hela ili apate hela. Huyo Saida kama alidhani mzee Muta alikuwa anamsaidia yeye basi hajui biashara ya muziki. Akae na huyo Diamond amuulize kwenye 100 yeye anapata ngapi na akila Sallam,Tale na Fela wanakula ngapi. Kisha amuulize Diamond WCB ambayo ni ya kwake inapata ngapi kwenye kila 100 anayoingiza Harmonize au Rayvany.

N.B Msaada huwezi kupata kwa wafanyabiashara, biashara msingi wake ni faida.
 
Hiyo ni kweli lkn sio kwenye serikali hii mmmh atanyongwa mchana kweupe
 
Diamond kma msanii afikilie jinsi gan saida anaweza nufaika na jasho lake kuliko kumlipa uyo mzee mnyonyaji ambae hajui hata saida sasa yupo wap na anaishi vip
 
Huyo mzee Mutta ni mpigaji kinoma hapo Saida anaweza asipate hata shilling 10, maana nina uhakika hata hiyo nyimbo kutumika kwenye movie ya hollywood chini ya muandaaji Tyler Perry nasikia hakupata hata 100 na ukitaka kujua upigaji wa huyu mzee soma kitabu cha Mr II aka Sugu cha kutoka mtaani mpaka bungeni ndio utajua Sugu amefunguka sana kuna kipindi alipiga kopi kibao za Album ya Sugu afu akampa hela kidogo sana mpaka jamaa akataka kukata tamaa ya kufanya mziki kwa kifupi mzee ni dalali wa siku nyingi na anaweza akasema kuwa Saida alimuuzia rights zote za wimbo.
NB: Tusizani kasaidiwa Saida Karoli hiyo ni hela ya mzee Muta, Saida Karoli halambi hata 100 hapo.
Mzee Muta alinyonya jasho la Saida na bado ataendelea kufaidika na kazi za Saida. Kama uliangalia ile picha ya mkataba wa Salome, mwanamama Saida hakuwepo, alikuwepo Dangote na FM.
 
Diamond kma msanii afikilie jinsi gan saida anaweza nufaika na jasho lake kuliko kumlipa uyo mzee mnyonyaji ambae hajui hata saida sasa yupo wap na anaishi vip
Yaan bora amsaidie kusimama tena chini ya WCB tumemic kwenye game, lakin co kupitia kwa huyo mnyama pori asie na huruma kwa binadamu
 
Aisee, Mutta ni konyo.
Mpaka Saida amefikia kupiga show za hivyo, serious inatia huruma.
Ndugu anapiga show za minadani kiingilio 500.... Wanazungusha magunia acha tu aseee.... Sikuamini
 
Kwa post za wadau humu na kwa ninavyomuelewa Diamond atalizingatia hilo la Saida,huyu mtu pamoja na mbwembwe zake lakin anawaheshim sana wakongwe wa muziki na ndio maana anafanikiwa kila uchao sio kama yule anaejua kuimba lakini hatuoni uwajibikaji wake kwa jamii.
Jamaa unafaaa kuwa mpishi UNA MAJUNGU....
 
Back
Top Bottom