Kweli kabisa!!Huyo mzee Mutta ni mpigaji kinoma hapo Saida anaweza asipate hata shilling 10, maana nina uhakika hata hiyo nyimbo kutumika kwenye movie ya hollywood chini ya muandaaji Tyler Perry nasikia hakupata hata 100 na ukitaka kujua upigaji wa huyu mzee soma kitabu cha Mr II aka Sugu cha kutoka mtaani mpaka bungeni ndio utajua Sugu amefunguka sana kuna kipindi alipiga kopi kibao za Album ya Sugu afu akampa hela kidogo sana mpaka jamaa akataka kukata tamaa ya kufanya mziki kwa kifupi mzee ni dalali wa siku nyingi na anaweza akasema kuwa Saida alimuuzia rights zote za wimbo.
NB: Tusizani kasaidiwa Saida Karoli hiyo ni hela ya mzee Muta, Saida Karoli halambi hata 100 hapo.

Huyo mzee Mutta ni mpigaji kinoma hapo Saida anaweza asipate hata shilling 10, maana nina uhakika hata hiyo nyimbo kutumika kwenye movie ya hollywood chini ya muandaaji Tyler Perry nasikia hakupata hata 100 na ukitaka kujua upigaji wa huyu mzee soma kitabu cha Mr II aka Sugu cha kutoka mtaani mpaka bungeni ndio utajua Sugu amefunguka sana kuna kipindi alipiga kopi kibao za Album ya Sugu afu akampa hela kidogo sana mpaka jamaa akataka kukata tamaa ya kufanya mziki kwa kifupi mzee ni dalali wa siku nyingi na anaweza akasema kuwa Saida alimuuzia rights zote za wimbo.
NB: Tusizani kasaidiwa Saida Karoli hiyo ni hela ya mzee Muta, Saida Karoli halambi hata 100 hapo.
Lina roho mbaya jamani!Pesa pesa aliimba Remmy Ongala. Jamani huyo baba na pesa zote hizo bado anamdhurumu Saida mpiga ngoma??[emoji120]
HahahahahahahaDiamond bado Mr.Nice nae kumfufua natamani uifanyie remix ile kikulacho afu unishirikishe mimi.
atapewa tu hii si kama manji tu alipotaka kukodi yanga si asilimia zilezile 25 au zina tofauti???safi kama atampa fungu lake Saida mchambua kama karanga
Ukiona manyoya..................Huyu Saida yupo wapi kwa sasa, na kwanini hawakuwa pamoja na Mutta siku ya makubakiano?
Ulikuwepo kwenye mapatano?!Lakini rights za wimbo sio za Saida ni za Mzee Mutta, ata mapatano wamepatana na Mutta. Saida hiyo 25% inamfikiaje?
Mzee Muta alinyonya jasho la Saida na bado ataendelea kufaidika na kazi za Saida. Kama uliangalia ile picha ya mkataba wa Salome, mwanamama Saida hakuwepo, alikuwepo Dangote na FM.Huyo mzee Mutta ni mpigaji kinoma hapo Saida anaweza asipate hata shilling 10, maana nina uhakika hata hiyo nyimbo kutumika kwenye movie ya hollywood chini ya muandaaji Tyler Perry nasikia hakupata hata 100 na ukitaka kujua upigaji wa huyu mzee soma kitabu cha Mr II aka Sugu cha kutoka mtaani mpaka bungeni ndio utajua Sugu amefunguka sana kuna kipindi alipiga kopi kibao za Album ya Sugu afu akampa hela kidogo sana mpaka jamaa akataka kukata tamaa ya kufanya mziki kwa kifupi mzee ni dalali wa siku nyingi na anaweza akasema kuwa Saida alimuuzia rights zote za wimbo.
NB: Tusizani kasaidiwa Saida Karoli hiyo ni hela ya mzee Muta, Saida Karoli halambi hata 100 hapo.
Yaan bora amsaidie kusimama tena chini ya WCB tumemic kwenye game, lakin co kupitia kwa huyo mnyama pori asie na huruma kwa binadamuDiamond kma msanii afikilie jinsi gan saida anaweza nufaika na jasho lake kuliko kumlipa uyo mzee mnyonyaji ambae hajui hata saida sasa yupo wap na anaishi vip
Ndugu anapiga show za minadani kiingilio 500.... Wanazungusha magunia acha tu aseee.... SikuaminiAisee, Mutta ni konyo.
Mpaka Saida amefikia kupiga show za hivyo, serious inatia huruma.
Jamaa unafaaa kuwa mpishi UNA MAJUNGU....Kwa post za wadau humu na kwa ninavyomuelewa Diamond atalizingatia hilo la Saida,huyu mtu pamoja na mbwembwe zake lakin anawaheshim sana wakongwe wa muziki na ndio maana anafanikiwa kila uchao sio kama yule anaejua kuimba lakini hatuoni uwajibikaji wake kwa jamii.