Diamond: Saida Karoli ana 25% kila pesa 'Salome' itakayoingiza

Nikiwatazama WCB Records (Wasafi Classic Baby Wasafi Classic Baby | WCB ) pamoja na menejimenti nzima, kuna matumaini wasanii wabunifu na wachapakazi Tanzania watafaidika sana na kazi zao kama wakiingia makubaliano ya kibiashara na WCB Records maana wanaonesha kuwa na visheni ya kuleta mapinduzi ktk entertainment industry ya Tanzania. Hawa Wasafi Records nawafananisha na iliyokuwa Motown Records ya Marekani.ilivyowainua wanamuziki Marekani na kimataifa.

Kuna documentary moja juu ya Motown Records ya Wamarekani History | Classic Motown niliiona ikielezea jinsi walivyowafanyia makubwa sana wasanii waliokuwa wakipigwa teke na vituo vikubwa vya redio, televisheni na studio Marekani, lakini Motown Records waliwasaidia wasanii kuinuka bila kuwategemea ''wanene hao wa Tv, Redio & studio'' zao za kinyonyaji.
 
jamani diaomond you are so kind you are so kind ndio maana unafanikiwa
 
Wakuu msinielewe vibaya kidogo labda kukaa kwangu mbali kidogo na Media za Tanzania kunanifanya nisielewe baadhi ya mambo.......

Hivi Diamond amemulipa saida kwa kuchukua bit yake na vionjo vya chambua kama karanga..

Na kama amemulipa amemulipa kiasi gani? Ni haki ya watu kujua Kwani ubunifu sio wa diamond ni wa saida .

Kama amemulipa sitakuwa na tatizo Kwani diamond amekuwa na Tabia ya kuiba pia biti za wasanii kama alivyofanya kuiba biti ya Baba Levo kwenye ule wimbo wake uko nyuma .

Wote munajua saida anaishi maisha gani huko Tanzania na Diamond anaishi maisha gani....

Sitaki kuamini moja kwa moja kwamba ajampa kitu lakini je amempa kiasi gani kinafanana na ubunifu ambao saida aliufanya?

Kama mnakumbuka hata nje 50 CENT alitaka kutumia brand ya Chinua Achebe wa nageria alitaka kuwalipa mamilioni ingawa walikataa.
 
Kamuulize Saida. Hatutaki ujinga hapa!
 

Hivi kabla ya kuuliza kweli jambo kama hili leo, sababu gani haukusechi humu kuona kama haijaongelewa bado?

Ni kama unataka kuleta yako kwa Diamond Platnumz.
 
Nyimbo mpaka inaanza kuchuja ndo unahoji hahahahaaa...
 
Na kama hakumpa kitu ungechukua hatua gani??? Wabongo bwana, mnajifanya mnajuuua.
 
Swali aliozi hata kama umechuja anaweza kwenda mahakamani alipwe
Haupo up to date...huangalii wala kusikiliza taarifa ya Habari. Tuseme huna Tv wala radio basi hata gazeti husomiiiiiii....upo `backward' sana..
Search hiyo thread humu JF ..utapata jibu.
 
Hivi kabla ya kuuliza kweli jambo kama hili leo, sababu gani haukusechi humu kuona kama haijaongelewa bado?

Ni kama unataka kuleta yako kwa Diamond Platnumz.
Kwa nini wewe usimuunganishe kwenye hiyo mada kama ipo humu? Not always kwamba ulichosoma wewe humu kila mtu amepitia..
 
Haupo up to date...huangalii wala kusikiliza taarifa ya Habari. Tuseme huna Tv wala radio basi hata gazeti husomiiiiiii....upo `backward' sana..
Search hiyo thread humu JF ..utapata jibu.
Sasa wewe kama ungekuwa unajua si ungemwaga hapa na Mimi nione maana yake na wewe ujui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…