Diamond: Saida Karoli ana 25% kila pesa 'Salome' itakayoingiza

Peleka fesibuku hili swali lako,kule kuna watoto wanafuatilia maisha ya Diamond kuliko maisha yao,hii ni JF
 
Mods ondoeni hii takataka hapa,mambo haya yalishajadiliwa kwa kina tu,kila mtu akija kwa style hii ya kuuliza jambo hata kama limo humu itakua ni ujinga sana
 
Kwa nini wewe usimuunganishe kwenye hiyo mada kama ipo humu? Not always kwamba ulichosoma wewe humu kila mtu amepitia..

Kabla hamjaanzisha mada muwe mnafanya search full stop...ndio maana hii ni forum.
 
Mwenye hatimiliki ya wimbo ni Mzee Muta siyo Saida,kalipwa Mzee muta.
 
Why not whole 100 %?
Alimlipa kiasi flani na wakakubariana atakuwa akila 25% ya kila ela itakayo tengenezwa kutoka kwenye mauzo ya wimbo huo. Hayo yalifanyika baina ya management ya diamond na aliyekuwa meneja wa saida mwenye copyright za kaz za saida bwana Muta
 
Peleka fesibuku hili swali lako,kule kuna watoto wanafuatilia maisha ya Diamond kuliko maisha yao,hii ni JF
Haaaaah maisha au maslai kama hakulipa anatakiwa alipe aisee mwambie kama unamshabikia!!!
 
Kama umepoteza muda wako mwiiingi kuandika pumba kama hizi nakushauri badilisha na avator yako.....unamuaibisha huyo mzee
 
Kama umepoteza muda wako mwiiingi kuandika pumba kama hizi nakushauri badilisha na avator yako.....unamuaibisha huyo mzee
Sio lazima uchangie kila kitu Mimi Nina maana yangu kujua kila kitu kinachoendelea we vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…