Diamond sasa ni kubadili mafanikio kuwa hela

Mkuu Burnaboy hebu nitajie msanii wa Kenya au Uganda ambaye anamiliki ndege mbili au tatu?!
Sifahamu wenye ndege zaidi ya jaguar. Ila navyofahamu wengi wa kiwango cha kati wana mafanikio kifedha kuliko wenzao wenye kiwango hicho hicho waliopo bongo. Kwa hiyo nazungumzia mafanikio kwa ujumla si kununua ndege tu
 
Na hapo akili za wabongo ndipo zilipoishia kuwa ukiwa most YouTube viewed ndio mafanikio yako youte....

Kwa wenzetu mafanikio ya muziki Ni endorsement FULL stop ... Yaani kupata deals na mikataba minono ...

Tafuta endorsement za hawa wasanii kwa mwaka Jana 2019 ndio utapata majibu kwanini Wanaijeria wako hivyo

1. BurnaBoy
2. Wizkid
3. Davido
4. Papichuro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli ndio maana wasafi sasa watafute deals badala ya kukazania kushindana kujaza maviwanja bongo. Hii ya waviwanja imeshawakuza waachane nayo sasa waende kwenye deals
 
Kweli ndio maana wasafi sasa watafute deals badala ya kukazania kushindana kujaza maviwanja bongo. Hii ya waviwanja imeshawakuza waachane nayo sasa waende kwenye deals
Mwaka Jana Davido ameingia deal na UBA yenye thaman ya Dola milion 3 , kwa hela ya madafu Ni Kama billion 6 shilingi... Unaona hizo deals ... Hizi ndio zinapaswa kuwa kazi za management kwa wasanii wetu wa tanzania...

Unaweza kuona kwenye hizo picha maelezo zaidi ya hizo deal na ndio inasemekana Ni deal kubwa kwa level ya msanii ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwako mwalimu kashasha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HAhaha kweli hakuna kujimwambafy unakuwa kama uko kwenye beseni kindege chenyewe hakiwezi hata fly from tz to nigeria bila kutua kujaza mafuta sa kindege gani hicho
Wanatumia hiyo kukuza brand. Akikupa bajeti anakupa na gharama ya private jet
 
Wanatumia hiyo kukuza brand. Akikupa bajeti anakupa na gharama ya private jet
Vile hata siyo jet ni turbo propellar makelele kibao not comfortable we jet mchezo, hata hao psquare hawana na nina mashaka hata huyo davido kama anamiliki jet. Hivi jet unaijua unaiskia mzee baba
 
Hapo sasa...hii ya juzi ya burnaboy dar nadhani ilikua hennessy. Kafanya show yake kiulainiii kaishia.
Si tunabaki na kupambana na kujaz viwanja!!!
Nimeona Pepsi hapo. Si wanaweza kumdhamini mondi kimataifa? Uongozi wake wafuatilie hii?
 
Umenena vyema aisee yani hii nchi wanazani ukiwa viewers wengi youtube ndio utakuwa unaongoza kwa ku earn mtonyo mrefu, na wengine wanakwambia umaarufu unapimwa na followers wa insta[emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo sasa...hii ya juzi ya burnaboy dar nadhani ilikua hennessy. Kafanya show yake kiulainiii kaishia.
Si tunabaki na kupambana na kujaz viwanja!!!
Nimeona Pepsi hapo. Si wanaweza kumdhamini mondi kimataifa? Uongozi wake wafuatilie hii?
Kujaza uwanja ,follwers wengi social network na kuwa na stream nyingi online ni moja ya kigezo wanachotumia wadhamini, kwamba unakubalika na wengi na hata kampuni inakudhamini sababu wanaamini kupitia ww bidhaa zao zitaonekana na kujulikana na wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…