Wapi nimesema Davido anamiliki ndege wewe mjnga .. Ndio maana shuleni mnafeli kenge Nyie ... Unaweza kunionesha ni wapi nimesema hayo unayotapika hapa, hebu chunguza mwanzo mwisho Kama Kuna sehemu nimesema kuwa Davido anamiliki ndege ..
Nimeishia kukupa elimu kuwa unajua maana ya mortgage?? Hujajibu ... Nenda hapo south uone vijana wanaburuza magari ya mamilion 170 au 200 kwa mortage ... Sasa na wewe kilaza nenda kajichimbie ujue mortgage ni nini ,na kwanini mtu Kama Davido anaweza kumiliki Hilo dude by mortgage...
Halafu Kumbuka Davido anatokea familia ya kitajiri , Baba yake ana utajiri wa dola milion 700 , vipi washindwe kuvuta Jet ya dola milion 20!! Stop that childish and poor mentality....
Sent using
Jamii Forums mobile app