Diamond sasa ni kubadili mafanikio kuwa hela

Diamond sasa ni kubadili mafanikio kuwa hela

Hiv kwann na sisi watz tuamue kuwapemda wasanii wetu bila kiwabagua kama tunavofanya miaka mingi iliyopita!!?? [emoji848] Au tuna subir mpaka wafe ndo tujue kuwa walikuww na thamani kubwa kwa nchi!!?? [emoji848] Michezo mingi hata haijawahi kutupaisha kimataifa ila mziki wa bongo flava kwa kweli hasa diamond kajitaaidi sana kwann tusimpe support ya kutosha

Sent using Jamii Forums mobile app
Shida iliyopo mkuu ni kwamba hata celebrities na wasanii hawapendani kabisa kitu ambacho kinakuwa ni ngumu sana kwa mashabiki kuungana.
Vuta picha siku unaambiwa labda kesho kuna shoo inawakutanisha jukwaa moja harmonize diamond alikiba[emoji95][emoji95] hii haitahitaji kabisa kuwa na promoter ili watengeneze pesa.. wasanii wamejaa ego za kuzidi kila mmoja yeye ndio mwamba kwa hivyo inatufanya mashabiki tuamini ukiwa fan wa mmoja basi lazima uwe na uadui na mwingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata hiyo jet davido aliyokuwa anajimwambafy kwamba ya kwake siyo ya kwake alinunua baba yake baada ya uongo wake kujulikana akaishia kaundika what belongs to me belongs to my father and what belongs to my father is mine. haters suck my d....
Huna unalojua zaidi ya vituko na kuchekesha watu hapa....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu unajua thamani ya ndege kweli? au unaongeelea tule twa TANAPA tena za zamani kichizi. lakini kama ni Gulf Stream huenda hata assets na pesa aliyo nayo hawezi nunua
Private jet sio Gulf Stream tu, zipo Bombardier, Cesna na nyingine nyingi za bei chini kidogo. Si lazima kila mtu amiliki Range Rover Sports, wengine wamiliki hata Harrier na zote ni SUV.
 
Huna unalojua zaidi ya vituko na kuchekesha watu hapa....

Sent using Jamii Forums mobile app
nikuweke ushahidi au hivi we unadhani kununua jet ni sawa na kununua gari?
au niendelee? achana na vindege kama cha jaguar jet kama ile ya davido ambayo nimekwambia anaimiliki baba yake si chini ya USD 16 millions.
tatizo hamfuatilii mambo
 
Private jet sio Gulf Stream tu, zipo Bombardier, Cesna na nyingine nyingi za bei chini kidogo. Si lazima kila mtu amiliki Range Rover Sports, wengine wamiliki hata Harrier na zote ni SUV.
Sijakataa hata hiyo ya babake davido ni bomabardier kacheckbei yake ilejet siyo ya davido ni ya baba yake
 
Borgus ndio nini ??

Nikikwambia wewe ni mjinga utakataa ???

Stupid ...

Sent using Jamii Forums mobile app
Siwezi kukataa maana aliyesemani mjinga anayehisi ni mwerevu nimekupa ushahidi kuwa davido hamiliki ndege alikuwa anabrag tu na ni kakuwekea bei ya hiyo ndege bado wewe unapiga kelele.
Private jet ya bei ndogo kabisa ni cirus vision jet gharama yake ni 1.96 milllion US dollars na ina engine moja hapo hujaweka kodi na inabeba watu 6 tu ukiibadiri hiyo kwenye pesa ya kibongo bilakodi ni kama billlion 4 upo hapo?
Inayofuata ni cessna cittation cj3+ bei yake ni 8.5 milion dollars kwa pesa ya kitz ni almost 18 billlion bila kodi hapo
bado unadhani kumiliki jet ni mchezo?
hata kama ununue used bado pesa imesimama.
Ndiyo maana mnadanganywa danganywa over hamna ubongo wa kureason
 
ile ndege aliyokuwa anatamba nayo davido ni challenger 605
bei yake ni hii
Bombardier Challenger 605. Current Price $ 27 million U.S.
Sasa igeuze kwenye pesa ya kibongo then rudi google how worth is davido ndo utajua kuwa hata hana uwezo wa kuiinunua
Nikikuita wewe Ni BOGUS uwe naomba uniunge mkono..Wewe unaelewa maana au unajua Kitu inaitwa Mortgage??

Unadhani watu wote wenye Magari ya kifahari na private jets wananunua on cash !!!... Jifunze kutafuta maarifa ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikikuita wewe Ni BOGUS uwe naomba uniunge mkono..Wewe unaelewa maana au unajua Kitu inaitwa Mortgage??

Unadhani watu wote wenye Magari ya kifahari na private jets wananunua on cash !!!... Jifunze kutafuta maarifa ...

Sent using Jamii Forums mobile app
Haya pingana na mimi lete ushahidi kuw davido anamiliki jet? unadhani ukinunua jet unakuja kulipaki kama gari? kuliacha tu airport gharama bado kuna pilot nni gharama mantainance costs tu ni gharama.
Unadhani kila mtu anaaweza kumortgage ndege?
Acha ulofa wewe usidhani kununua gari kwa mkopo ni sawa na kununua ndege.
narudia we ni fala na hata reasoning capacity huna. hiyo ndege gharama ya ni sawa na almost billion 60 za kitanzania wakati davido hata utajiri wake haufiki hapo halafu akaimortgage unadhani inawezekana?
 
Wapi nimesema Davido anamiliki ndege wewe mjnga .. Ndio maana shuleni mnafeli kenge Nyie ... Unaweza kunionesha ni wapi nimesema hayo unayotapika hapa, hebu chunguza mwanzo mwisho Kama Kuna sehemu nimesema kuwa Davido anamiliki ndege ..

Nimeishia kukupa elimu kuwa unajua maana ya mortgage?? Hujajibu ... Nenda hapo south uone vijana wanaburuza magari ya mamilion 170 au 200 kwa mortage ... Sasa na wewe kilaza nenda kajichimbie ujue mortgage ni nini ,na kwanini mtu Kama Davido anaweza kumiliki Hilo dude by mortgage...

Halafu Kumbuka Davido anatokea familia ya kitajiri , Baba yake ana utajiri wa dola milion 700 , vipi washindwe kuvuta Jet ya dola milion 20!! Stop that childish and poor mentality....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikikuita wewe Ni BOGUS uwe naomba uniunge mkono..Wewe unaelewa maana au unajua Kitu inaitwa Mortgage??

Unadhani watu wote wenye Magari ya kifahari na private jets wananunua on cash !!!... Jifunze kutafuta maarifa ...

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mortgage inahusiana na kuchukua title ya immovable property kama security...
 
Wapi nimesema Davido anamiliki ndege wewe mjnga .. Ndio maana shuleni mnafeli kenge Nyie ... Unaweza kunionesha ni wapi nimesema hayo unayotapika hapa, hebu chunguza mwanzo mwisho Kama Kuna sehemu nimesema kuwa Davido anamiliki ndege ..

Nimeishia kukupa elimu kuwa unajua maana ya mortgage?? Hujajibu ... Nenda hapo south uone vijana wanaburuza magari ya mamilion 170 au 200 kwa mortage ... Sasa na wewe kilaza nenda kajichimbie ujue mortgage ni nini ,na kwanini mtu Kama Davido anaweza kumiliki Hilo dude by mortgage...

Halafu Kumbuka Davido anatokea familia ya kitajiri , Baba yake ana utajiri wa dola milion 700 , vipi washindwe kuvuta Jet ya dola milion 20!! Stop that childish and poor mentality....

Sent using Jamii Forums mobile app
Narudia we falahuwezi kumortgage kitu ambacho hata assets zako hazilingani na thamani ya hicho kitu. we takohiyo jet ni usd 27 milllion ni nimekwambia mwenyewe alikiri kuwa ni ya baba yake na akaandika what belongs to him belongs to his daddy and what belongs to his daddy belongs to him.
Davido according to forbes ana utajiri wa 16 milllion dollars atanunuaje au a mortgage ndege ya 27 million dollars hata kama imeshuka thamani iwe nusu yake?
Unatumia makalio kureason.
Kumiliki jet siyo kamakumiliki gari we fala
 
Back
Top Bottom