Diamond sasa ni kubadili mafanikio kuwa hela

Mkuu mortgage inahusiana na kuchukua title ya immovable property kama security...
Hajui hata naloandika huyu jamaa ndege thamani yake 27 million dollars davido net worth 2020 according to fores ni 16 million dollars sasa anaweza mortgage vipi hiyo ndege?
 
Utajiri wa 1116 milion dollars?
 
Kenge wewe tena mjusi kafiri unaetumia mgongo kufikiria...

Nimekuwekea baadhi ya assets na networth ya jamaa then linganisha na hiyo Bei ya Ndege... Mind you last year jamaa alikuwa na Endorse zenye jumla ya dola milion 6 ...


Utaanzaje kutapika hayo unayotapika kichaa wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
we kweli matako forbes wenyewe mwaka jana wamesema ana utajiri wa dollar 16 million, hajafika hata thamani ya hiyo ndege kwa miaka yote aliyofanya mziki.
Nabisha na lofa yani ukapewe mortgage ya kitu ambacho hata vyote ulivyo navyo havikii thamani yake.
 
Bro swala la album kibongo bongo bado sana, sasa unakuta album ya msanii ina nyimbo 10 kati ya hizo 1ndio kali kwenye iyo album sasa utapoteza elfu 30 au hata 20 kwanyimbo moja.


 
Bro swala la album kibongo bongo bado sana, sasa unakuta album ya msanii ina nyimbo 10 kati ya hizo 1ndio kali kwenye iyo album sasa utapoteza elfu 30 au hata 20 kwanyimbo moja.
Nakubali bado lkn tunahitaji sana mapinduzi update wa album.

Pili sizani wote kama mna mioyo inayofanana ktk kupenda,usichokipenda ww kuna wengine wanakipenda na huwezi ukakuta eti nyimbo zote kali,lazima mara nyingi kali zinakuwa chache lkn mbovu zipo nyingi.
 
Kweli management yake inatakiwa iangalie hilo swala kwa mfano ukipiga mahesabu ya show ya wasafi labda wameingia watu 20k wakalipa 10k inakua ni 20m amewaalika wasanii tuseme minimum 20 labda pamoja na wadhamin wakichangia ifike 60m gharama ya usafiri jukwaa dancers na mengineyo unaweza shangaa inakua sio faida kwake zaidi ya umaarufu wa kujaza uwanja so hapo kama ni show iwe yake peke yake tu na wasanii wake
 
Mo n moja kati ya matajiri wakubwa hapa africa ashawahi ulizwa n kwa nn hajanunua private jet alieleza vzur kitu ambacho ukigeuza kwa mond inakuwa ngumu pia..
vinginevyo mond pesa anayo anamaindosment kibao yanayomuingizia pesa sasa cjui we unanjia gan mbadara labda zaidi ni kuboresha mauzo ya mzki wake through Internet platforms kama wasanii wa mbele kitu ambacho ndo naona kama kakwama zaidi ya hapo anafanya vzuri
 
hili unaliamini ww
Mfano mimi ni shabiki wa Diamond ila my favourite station radio ni Clouds
Na bado kiba namkubali ila tunapopishana na kuona kwamba shabiki wa Dia ni adui wa Alli ni pale tunapoanza ubishani wa n nan bora kiliko ko hapo wengi wanachukulia n kama uadui same to football shabiki wa messi na Ronaldo shabiki wa Ronaldo anajua ubora wa messi na shabiki wa messi anajua ubora wa cr7 ila anawake bora kuliko
 

Hivi mkuu mbona Channel O kwenye dstv siku hz haipo,ina maana imekufa au nn kimetokea??
 
Private jet sio Gulf Stream tu, zipo Bombardier, Cesna na nyingine nyingi za bei chini kidogo. Si lazima kila mtu amiliki Range Rover Sports, wengine wamiliki hata Harrier na zote ni SUV.
Mkuu ile ndege ya Davido nimesoma pahali bei yake kwa used ambayo ishatumika mtu anakuuzia haipungui Billion 30 za Tz...Davido anaweza afford kweli hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mkuu mauzo ya mziki sidhani yanalipa kiivyo. Wangetafuta udhamini kwa shoo zao za nje ya nchi. Udhamini walionao kwa shoo za ndani sidhani kama unalipa ki hivyo!!!

Halaf tukumbuke mondi ana biashara nyingine - karanga, perfume. Mashow yote anapiga hawatangazi au kuuza chochote hata perfume moja!!! Hii nayo ni fursa iliyopotea wameshindwa kutumia vizuri umati kibiashara. Yaani msanii wao anatangaza bishara za wengine wakati bishara zake mwenyewe hauzi!!!

Maana kama hizi biashara z perfume zimekufa kwa nn bado zipo kwenye insta yake?
 
Ndo hivyo mkuu. biashara ina mambo yake hii si kujaza maviwanja tu!!
Mond is business mogul not just a musician.

Sio tu kwamba ana kipaji cha muziki bali pia jamaa ana kipaji/uwezo mkubwa wa kibiashara.

Nahisi hata wafanyabiashara wakubwa baadhi wanamfuataga kuomba ushauri.

Ni watu wachache sana dunia hii wenye uwezo wa ku commercialize talanta zao kutoka kwenye mazingira magumu na kupata mafanikio kiasi cha kwenda sawa na wale waliotoka kwenye mazingira rahisi na wezeshi.

Kwa industry yetu ilivyokuwa milongo miwili iliyopita ilikuwa ni ngumu sana kudhani kuna siku na sisi tutakuja kuwa na msanii ambaye ni brand kubwa afrika, kutokana na aina ya mziki wetu,lugha,popularity ndogo ya nchi yetu,kutokuwepo kwa watangulizi,support mbovu ya serikali,amateurish media industry,roho za wabongo.

Lakini leo hii hayo yote yameonekana si vikwazo kwa mtoto wa tandale, he has beaten all the odds and now he is on top of the game, he has shown the rest of us nothing is impossible if you put genuine efforts to pursue it, he owns this industry,he has transformed the mainstream genre to his own stylish rhythm, sasa hivi kila ngoma kali unayoiskia unakuta ina vionjo vya Wcb kwa mbali.

Kiukweli huyu mtu tunaweza tukawa hatufurahishwi na personal life aliyonayo lakini kwenye suala kazi tunamuangalia kwa jicho la kufarishwa naye na la kujifunza pia.



MOND BABA LAO.[emoji441][emoji441]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
πŸ’―πŸ’―πŸ’―
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…