ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Inawezekana ni mwandishi mzuri, ana nyimbo zenye melody Kali, ila tatizo sauti yake tumeichoka sana , sana yani kama tulivozichoka sauti za kina mbdogg na Juma nature.
Kiukweli kinachombeba ni Jina tu, kwasasa awaachie kina Mario, harmonize, jay melody, sauti zao hatujazichoka. Yaani nikisikia sauti ya diamond na Ile staile yake very old fashioned, aache muziki awe mwandishi.
Jamaa kiufupi ameisha