Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haijalishi wewe ni mshabiki wa nani, hapa hatuko kwenye ushabiki bali uhalisia unathibitishwa na facts.Mimi ni mshabiki wa diamond kindaki ndaki, nazungumzia uhalisia. Jamaa kaisha
Asipokuelewa hapa basi either uwezo wake kiakili ni mdogo sana au ni hater tu wa Diamond na anaumizwa na mafanikio yake.Uhalisia ambao hauna facts ni chuki.
Hivi kuna uhalisia unaozidi digital platforms.Ukiona mtu ana number kubwa kwenye digital platforms hata demand yake ni kubwa.
Ongea facts na si chuki zako,mziki upo opens siku hizi ongea kwa number na sio hisia zako binafsi.
Haisadii Diamond is the best and ever and ever the best, the flag bearer of Tanzanian musicInawezekana ni mwandishi mzuri, ana nyimbo zenye melody Kali, ila tatizo sauti yake tumeichoka sana , sana yani kama tulivozichoka sauti za kina mbdogg na Juma nature.
Kiukweli kinachombeba ni Jina tu, kwasasa awaachie kina Mario, harmonize, jay melody, sauti zao hatujazichoka. Yaani nikisikia sauti ya diamond na Ile staile yake very old fashioned, aache muziki awe mwandishi.
Jamaa kiufupi ameisha
Huyu ni panya kama Panya wengine mwamba diamond ndio balozi wa Tanzania Kwa ujumla wakeHaijalishi wewe ni mshabiki wa nani, hapa hatuko kwenye ushabiki bali uhalisia unathibitishwa na facts.
Kwanza umeandika ujinga wa 'tumemchoka' bora ungeandika ya kwamba 'umemchoka' kwani ni haki yako kumchoka unayejisikia kumchoka japo pia ukitoa sababu za uonga au za chuki wenye facts zitakazokinzana na zako watakujibu.
Kichekesho unadai Diamond watu wamemchoka uimbaji wake lakini akitoa wimbo/nyimbo hakuna anayevutia kusikilizwa zaidi yake kwenye digital platforms zote, wapo artists wengi wenye majina wakichokwa huwa numbers zinajidhihirisha zenyewe. Zama za kudanganya zimepitwa na wakati kwani facts huwa ziko wazi.
🤣🤣🤣🤣🤣Konde baba tumekujua haya koowa kwanza ndo uendelee
Kwanini utumie neno "Tumemchoka" ulichoongea hakisadiki na anavyodominate Diamond ametoa hit mbili Yatapita na Zuwena ingekuwa kachokwa ngoma zake zisingekuwa zinafanya vizuriInawezekana ni mwandishi mzuri, ana nyimbo zenye melody Kali, ila tatizo sauti yake tumeichoka sana , sana yani kama tulivozichoka sauti za kina mbdogg na Juma nature.
Kiukweli kinachombeba ni Jina tu, kwasasa awaachie kina Mario, harmonize, jay melody, sauti zao hatujazichoka. Yaani nikisikia sauti ya diamond na Ile staile yake very old fashioned, aache muziki awe mwandishi.
Jamaa kiufupi ameisha
😁😁😁😁🤣🤣🤣🤣🤣
Hawezi kuishaJe mr blue hajaisha...?
Kwann hawez kuishaHawezi kuisha
Ndo life cycle ya mziki ilivyo. Ukishapata umaarufu inatakiwa ufanye uwekezaji kwa umakini. Sasa hivi mondi anahangaishwa na TRA sijui balance sheet ilikuwa haibalance.
Yeye na bwana ake!Mbona unaweka wingi tena...UMECH0KA WEWE NA NANI..?
🤣🤣🤣🤣Yeye na bwana ake!
Diamond ni kama ronaldo kwa sasa.Natumaini mfano wangu una nyama nyama.Haisadii Diamond is the best and ever and ever the best, the flag bearer of Tanzanian music
Sema kijana unateseka sanaHamna kitu, embu kasikilize miamor