babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Mr blue hajaisha hata kidogo na hata hiyo nafasi yake kisanii hatumii vizuri.Je mr blue hajaisha...?
Huyu dogo ni mojawapo ya talent zilizopotea bila kutumika inavyopaswa.
Kuna nyimbo "Mimi Wewe" kaimba na Abby skillz kina Diamond wakasome kwanza