ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Sema umechoka sio tumechoka, utaibika mkuu!Inawezekana ni mwandishi mzuri, ana nyimbo zenye melody Kali, ila tatizo sauti yake tumeichoka sana , sana yani kama tulivozichoka sauti za kina mbdogg na Juma nature.
Kiukweli kinachombeba ni Jina tu, kwasasa awaachie kina Mario, harmonize, jay melody, sauti zao hatujazichoka. Yaani nikisikia sauti ya diamond na Ile staile yake very old fashioned, aache muziki awe mwandishi.
Jamaa kiufupi ameisha
Kuna kaukweli, kinachombeba jina na ubunifu.Inawezekana ni mwandishi mzuri, ana nyimbo zenye melody Kali, ila tatizo sauti yake tumeichoka sana , sana yani kama tulivozichoka sauti za kina mbdogg na Juma nature.
Kiukweli kinachombeba ni Jina tu, kwasasa awaachie kina Mario, harmonize, jay melody, sauti zao hatujazichoka. Yaani nikisikia sauti ya diamond na Ile staile yake very old fashioned, aache muziki awe mwandishi.
Jamaa kiufupi ameisha
Mmezichoka wewe na nani? mbona huku kwetu hatutarajii kuzichoka kabisa. Hakuna artist anayeweza kibebwa na jina kama amechokwa, mauzo ya kwenye digital platforms ndiyo majibu ya kama amechokwa au la, waliochokwa na wana big names kwenye game huwa tunaona matokeo wakitoa nyimbo.Inawezekana ni mwandishi mzuri, ana nyimbo zenye melody Kali, ila tatizo sauti yake tumeichoka sana , sana yani kama tulivozichoka sauti za kina mbdogg na Juma nature.
Kiukweli kinachombeba ni Jina tu, kwasasa awaachie kina Mario, harmonize, jay melody, sauti zao hatujazichoka. Yaani nikisikia sauti ya diamond na Ile staile yake very old fashioned, aache muziki awe mwandishi.
Jamaa kiufupi ameisha
Swali la msingi, tujue jinsia yake.Pole Sana aise,we ni jinsia gani buda
Mbona unamtesa kwa solid facts(numbers)?Pale unapo lazimisha mawazo yako kuwa ni ya watu wote lkn namba kwenye digital platforms zinakushangaa. Mwamba anakimbiza digital platforms zote, hapo ndipo ujue kama umemchoka ni wewe.
Angalau, diamond mhhAli Kiba je?
Mimi ni mshabiki wa diamond kindaki ndaki, nazungumzia uhalisia. Jamaa kaishaMmezichoka wewe na nani? mbona huku kwetu hatutarajii kuzichoka kabisa. Hakuna artist anayeweza kibebwa na jina kama amechokwa, mauzo ya kwenye digital platforms ndiyo majibu ya kama amechokwa au la, waliochokwa na wana big names kwenye game huwa tunaona matokeo wakitoa nyimbo.
Wamakonde huwa hamjifichi, hao wengine umewataja kwa kuzuga tu lakini ulikuwa ukilenga kumtaja Mmakonde mwenzio na chuki zako binafsi kwanini Diamond hashuki toka ameanza muziki.
Painful truth kwako ni kwamba jamaa hana hata dalili za kuchokwa kabisa, haters wake mnateseka mno wakati mjuba ka-hustle kuanzia chini kabisa leo anakula matunda wanga ndiyo mnahangaika kumuwangia. Wachawi mnataabika sana.
"....zinatufanya ngozi kupoteza mvuto na kukunjamana watanzania...", ZINATUFANYA! Wewe na nani? Kwanini na wewe usijisemee mwenyewe mkuu? Why utujumuishe na sisi?Sema umechoka sio tumechoka, utaibika mkuu!
Pili jifunze mazuri toka kwa mtu yatumie katika mazingira yako kufanikiwa.
Hizi roho zetu mbaya zinatufanya ngozi kupoteza mvuto na kukunjamana watanzania
Unataka abane pua?? Msingi useme aina ya uimbaji wake ni ule ule abadirike.Inawezekana ni mwandishi mzuri, ana nyimbo zenye melody Kali, ila tatizo sauti yake tumeichoka sana , sana yani kama tulivozichoka sauti za kina mbdogg na Juma nature.
Kiukweli kinachombeba ni Jina tu, kwasasa awaachie kina Mario, harmonize, jay melody, sauti zao hatujazichoka. Yaani nikisikia sauti ya diamond na Ile staile yake very old fashioned, aache muziki awe mwandishi.
Jamaa kiufupi ameisha
Uhalisia ambao hauna facts ni chuki.Mimi ni mshabiki wa diamond kindaki ndaki, nazungumzia uhalisia. Jamaa kaisha