Diamond sauti yake haina ladha tena, tumechoka

Ngoma ikivuma hatimaye hupasuka
 
Kila lenye mwanzo halikosi kuwa na Mwisho.Dogo soon tuu anakuwa mtoa ushauri kwa vijana
 
Uliyeandika huu uzi ni mpumbavu sana. Koffi Olomide kaanza kuimba mwaka 1976 na baada ya miaka 10 yaani 1986 alianzisha kundi lake ambalo hadi leo lipo. Kwa miaka 37 dunia inafurahia nyimbo za Koffi bila kuchoka. Diamond hata miaka 15 tu kwenye muziki hana hivyo akijaliwa uhai bado ana miaka mingi sana ya kutuimbia. Cha muhimu awe mbunifu sana... hawa wakongwe ambao hadi leo wapo huwa wanasoma sana mahitaji ya wakati huo. Kwa mfano Hayati Papa Wemba hadi karibu na kifo chake alikuwa akitamba na wimbo aliomshirikisha Diamond.
 
Usisahau kuwatag wenzako mlioichoka sauti moja lakini zingine mnazihitaji
 
binadamu hmna jema akiimba nyimbo za kuparty hamtaki, akiimba kawaida kama alivyoanza mnaita old fashioned style basi hao ambao wanapambana nae au ambao ndo wapo kwenye trend kwa sasa wafanye angalau kumfikia robo lakin bado wanajikongoja
Muda wake umefika
 
Astaafu tu
 
Mimi ni shabiki wa mondi tangu anatoka bro mondi wa enzi za nyuma si sawa na wa sasa hata kidogo. Mondi alikua balaa akitoa nyimbo huwa nyimbo ya taifa tena itatrend si chini ya miezi sita, mfano Utanipenda, Eneka, African beuty, kwangwaru, kidogo, halleluyah, iyena, ntampata wapi, Marry you na nyinginezo halafu fananisha na hizi za sasa hivi Gidi, kwenye FOA ukiitoa mtasubiri nyingne sio za level yake, zuwena, my baby, Jugni, kanyaga na nyingnezo. Kama utafikiria bila ushabiki utaona ukweli ulivo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…