Diamond sauti yake haina ladha tena, tumechoka

Je mr blue hajaisha...?
Mr blue hajaisha hata kidogo na hata hiyo nafasi yake kisanii hatumii vizuri.
Huyu dogo ni mojawapo ya talent zilizopotea bila kutumika inavyopaswa.
Kuna nyimbo "Mimi Wewe" kaimba na Abby skillz kina Diamond wakasome kwanza
 
Mr Blue ni My all time favourite Tanzanian Artist
 
Kwahio hao hawajamchoka ?
Sio hawajamchoka yaani wanafanya kama vile wanamsikiliza msanii mwengine yeyote tu ile title kuwa goma la mondi ishaisha siku hizi, Amini nakwambia mondi angekuwa yule yule nowdays angekuwa anaendelea kushindana na akina burnaboy na davido ila duuh wamemuacha mbaali sana
 
Zamani kabla hajachokwa alikuwa anawashinda hao ? Yaani Diamond wa Sasa Kima-shabiki anamzidiwa na Diamond wa lini Ki-mashabiki

Kumbukuka hapa tunaongelea kuchokwa (sio ubora wa kazi anazotoa) kwahio kama mashabiki wameongezeka huwezi kusema amechokwa; technically wangemchoka angepunguza mashabiki
 
Umechoka na nani mkuu?
Mbona unawasemea watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…