Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ila Diamond na Wema hawaendani,wema anaonekana kazeeka
HOD aje atolee maelezo..
Hawezi kuja tena kwa hizi ishu.....Tangu kipindi kile awe anaropoka ropoka eti ohh Diamond hatakaa arudiane na Wema sababu Wema ni mchafu........Diamond atamuoa Penny ndio kafika pale kwa wife material,sie tukwamambia kumtandikia bosi wako kitanda usijifanye unamjua sana....Akatushushua sana eti sie ndio namna gani........Sasa wako pamoja na yeye ndio akimaliza kuwapiga picha anawatandikia kitanda na kuwapelekea maji bafuni heaven on desert

kazi wanayo......sasa mbona anamwangaisha mwenzake kuvaa na kuvua pete.....
wema bonge la mwanamke lakini amechagua maisha ya hovyo hovyo
Wakati bimkumbwa Wema Sepetu akijiaminisha kua ni mke mtarajiwa wa msanii Diamond platnum
Platnum kafunguka na kusema hafikiriii kuoa, Mama ubaya tumbo jotroooo na pete yake ya ndoa aliyojivisha mbona kazi ipo
WAHENGA WANASEMA "KUPENDA SIO KAZI ,KAZI NI KUMPATA ANAEKUPENDA"
TEAM Wema kazi kwenu kumshauri na kumsifia madame wenu kajiwekesha na kujiaminishaa halaf mwanaume anaongea hadharan kua hafikirii kuoa kwa hiyo yupo na Wema kwa muda tu ndio maana hiyo atii"!!!
,,,,team wema mtaponda mawe lakin shemeji yenu ndio hiyooo,,,,,,,
Source : ijumaa
Hamna cha nyota wala ninii angekua na nyota angejijenga yeye hiyo nyota ya uzuraraji au !!!?? Dai anajituma kwa nyota yake
Nahisi ni mapambo hayooo kama twaavavyo chupi
Jaman kwani lini hajapumuaa haaa