Diamond: Sifikirii kuoa

Diamond: Sifikirii kuoa

Mimi magazeti ya udaku sijaamini kabisa...
 
HOD aje atolee maelezo..

Hawezi kuja tena kwa hizi ishu.....Tangu kipindi kile awe anaropoka ropoka eti ohh Diamond hatakaa arudiane na Wema sababu Wema ni mchafu........Diamond atamuoa Penny ndio kafika pale kwa wife material,sie tukwamambia kumtandikia bosi wako kitanda usijifanye unamjua sana....Akatushushua sana eti sie ndio namna gani........Sasa wako pamoja na yeye ndio akimaliza kuwapiga picha anawatandikia kitanda na kuwapelekea maji bafuni heaven on desert
 
Last edited by a moderator:

Mmmhhhh ngoja ajeee mi simoooo
 
Means na yeye alikuwa anagongwa
cc heaven on desert
 
Last edited by a moderator:
wema bonge la mwanamke lakini amechagua maisha ya hovyo hovyo

ni Mwanamke Kweli Yule....Scandal Zake Zinawafanya Watu Wasahau Hilo...But Diamond Anafaidika Na Mengi Paleeeee.......
 
ni Mwanamke Kweli Yule....Scandal Zake Zinawafanya Watu Wasahau Hilo...But Diamond Anafaidika Na Mengi Paleeeee.......

Mnaposema mwanamke kweli unamaanishaa ninii,???
 
Na atakoma maana na sasa hivi kaishamaliza mabutcher yote sijui nani atamuoa maskini
 
Diamond ameshaona kama anatambulika kimataifa hii ndiyo sababu kuu..Kwa hivyo basi..

1. Ili jina lake lizidi kupaa atahitaji kuwa na Mbebs kutoka Nje.. Akitokea USA itakua vizuri zaidi..Hata katika mahojiano kasema hakuamini kumuona Rihana amekaa Nyuma yake..

2.Anathamini Sifa kuliko Maisha halisi..Hili tatizo liko kwa watoto wengi kutoka Uswazi..

3.Wema ana Umaarufu wa magazeti na siyo Kutokana na kazi zake ..Hivyo Msaada wa Wema ni mdogo Anga za Kimataifa..

4.Ametambua thamani yake baada ya BET ..

5.Kidume yeyote anatamani kuwa na Mke ambaye hajachezewa sana...Hasa ikiwa wachezeaji unawajua...Mbaya zaidi wakuzidi kipato..

Haya ni Mawazo yangu tu..Ni kawaida kabisa Mtu akinunua Shati jipya..Anaona suruali imechakaa..Diamond wa sasa siyo yule wa Tandale..Pole sana Wema.
 
Haya mnaoishi na imani hadi za nyota

Mi naamini maadili pekee anayomkaa mtu kuanzia utoto mpaka kuvunja ungo au barehe hayo ndo hudefine someones life image
Kwa watu wa bible
Mithali 22:6
"Mlee mtoto katika njia impasayo naye hataiacha hata atakapokuwa mzee"
Nimejitahidi knukuu sorry km nimepelea pahali.

Sasa kutoka hapo changamoto ni
"Njia impasayo"
Pia hapasemi usipolea ipasavyo kitotokea nini.

Ulinganifu kati ya "mtoto" na "mzee" ..... ujana umerukwa nafikiria kwamba ujana maji ya moto lkn pamoja nayote
kama maadili yalipita kichwani hata mtu akosee vipi basi ile internal call for restoretion ni km hazina aliyonayo mtu na inaanza na mhusika na si kusubiri msamalia kuja kutoa maonyo na maelekezo naona
Mawazo tu jamani
 
Wakati bimkumbwa Wema Sepetu akijiaminisha kua ni mke mtarajiwa wa msanii Diamond platnum
Platnum kafunguka na kusema hafikiriii kuoa, Mama ubaya tumbo jotroooo na pete yake ya ndoa aliyojivisha mbona kazi ipo
WAHENGA WANASEMA "KUPENDA SIO KAZI ,KAZI NI KUMPATA ANAEKUPENDA"

TEAM Wema kazi kwenu kumshauri na kumsifia madame wenu kajiwekesha na kujiaminishaa halaf mwanaume anaongea hadharan kua hafikirii kuoa kwa hiyo yupo na Wema kwa muda tu ndio maana hiyo atii"!!!
,,,,team wema mtaponda mawe lakin shemeji yenu ndio hiyooo,,,,,,,
Source : ijumaa

Hamna cha nyota wala ninii angekua na nyota angejijenga yeye hiyo nyota ya uzuraraji au !!!?? Dai anajituma kwa nyota yake

Nahisi ni mapambo hayooo kama twaavavyo chupi

Binamuuuuu Mbona umuachi bi dada akapumua....
 
Back
Top Bottom