Diamond siku akifariki, muziki wa Tanzania utakufa

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Diamond Platnumz akifa mziki wa Tanzania unakufa.

-Harmonize atakosa mtu wa kumpa kiki za kuvumisha ngoma zake
-Alikiba atakosa mtu wa kushindana naye
-Rayvanny atakosa mtu wa ku mboost kwenye mziki
-Marioo atakosa mtu wa kujishindanisha kwake
-Tanzania itakosa mtu wa kuiwakilisha kimataifa na kushindana na wanaija
- Contents Creators wengi watakosa content ambazo hufanya kwa kumuiga Diamond (Eric Omondi na wengine)

Media zote zitakosa za online zitakosa Umbea wa kupost (Mange Tv,Sns,Rick media, Millard Ayo na kadhalika)
Kiufupi Nchi itakuwa imepoteza moja ya Kiungo Kikubwa kwenye maendeleo ya Nchi.

1704874511446.jpeg
 
Watakaobaki watabadilisha mandhari. Diamond kaukuta muziki, atauacha, aidha kwa kuzeeka na kuacha kuimba ama kwa kifo. Muziki ulikuwepo na utaendelea kuwepo bila yeye. Vipaji vipya vinazaliwa kila leo.
 
But kimataifa itakuwa hatutakua na ushindani

Haya mashairi ya "" I go die fo u hayawezi kushindana na kina davido[emoji23]
 
Back
Top Bottom