Watakaobaki watabadilisha mandhari. Diamond kaukuta muziki, atauacha, aidha kwa kuzeeka na kuacha kuimba ama kwa kifo. Muziki ulikuwepo na utaendelea kuwepo bila yeye. Vipaji vipya vinazaliwa kila leo.Diamond Platnumz akifa mziki wa Tanzania unakufa.
-Harmonize atakosa mtu wa kumpa kiki za kuvumisha ngoma zake
-Alikiba atakosa mtu wa kushindana naye
-Rayvanny atakosa mtu wa ku mboost kwenye mziki
-Marioo atakosa mtu wa kujishindanisha kwake
-Tanzania itakosa mtu wa kuiwakilisha kimataifa na kushindana na wanaija
- Contents Creators wengi watakosa content ambazo hufanya kwa kumuiga Diamond (Eric Omondi na wengine)
Media zote zitakosa za online zitakosa Umbea wa kupost (Mange Tv,Sns,Rick media, Millard Ayo na kadhalika)
Kiufupi Nchi itakuwa imepoteza moja ya Kiungo Kikubwa kwenye maendeleo ya Nchi.
Bado sio yeyeKwanza konde kwa sasa ndo uhakika diamond hamuwez
Mungu ataupandisha nakuleta wasanii wapya mpaka dunia iishe alimleta hata na yeyeNani ataupandisha??
But kimataifa itakuwa hatutakua na ushindaniWatakaobaki watabadilisha mandhari. Diamond kaukuta muziki, atauacha, aidha kwa kuzeeka na kuacha kuimba ama kwa kifo. Muziki ulikuwepo na utaendelea kuwepo bila yeye. Vipaji vipya vinazaliwa kila leo.
Unaijua safari ya gwaru??Je bongo movie inatoboa kimataifa...Baada ya kanumba kufa ..??
Kama ndiyo ...lete movie Moja iliyotoboa