The Undisputed
JF-Expert Member
- Jan 22, 2018
- 204
- 330
Waulize swali fupi tu, ni msanii gani wa bongo anauwakilisha muziki wa bongo kwenye ramani ya Africa na Duniani alaf wasitaje uzao wa DiamondHapana mkuu...la masimba chibu dangote anastahili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waulize swali fupi tu, ni msanii gani wa bongo anauwakilisha muziki wa bongo kwenye ramani ya Africa na Duniani alaf wasitaje uzao wa DiamondHapana mkuu...la masimba chibu dangote anastahili
"Inama niipenyeze kwa chini... nikulambe mtaro kisha nikuchape na fimbo... unilambe koni mpaka nikamkam!"Anachoimbaga nini hasa
Bongo "Flava" Ni sawa na kusema ladha ya muziki kutoka bongo na ndani yake kuna sounds tofauti tofauti ambazo zipo ndani ya GENRE mojaJamaa unachekesha sana "Nioneshe Diamond sound ni ipi" 😂 😂 hiki ni kigezo kutoka wapi au unachonga kona kona hili uthibitishe uwongo wako.
Nikuulize nitaji sound ya burna, wiz, psquare, davido, ayra utajibu nini? Wote hao wanabaki kwenye afro beat fusion hakuna cha sound wala nn.
Hao wote uliowataja kina mb dog, Mr Nice, dully wote wanabaki kwenye bongo fleva au ulitaka wote wafanane melody ndio ujue wanaimba aina moja ya muziki.
Aya nijibu hili swali huo muziki wa Mr Nice "TAKEU" ni aina gani ya muziki una fall kwenye category.
Au Alikiba tuambie ana sound ipi kwenye muziki?
Hao wote uliowataja kina dully, Mr Nice na wengineo ni msanii gani mbali na Ay mwingine uliwahi kumsikia akiimba Afro pop hapa bongo.
Simply tu hakuna muziki duniani unaitwa TAKEU ni janja janja tu za Mr Nice ktk kusaka pesa.
Em tutajie msanii yyte wa bongo fleva ambaye aimbi matusi alaf ni A list artist kwa hapa Tz"Inama niipenyeze kwa chini... nikulambe mtaro kisha nikuchape na fimbo... unilambe koni mpaka nikamkam!"
MPUMBAVU ALIYETAJIRIKA KUIMBA UPUMBAVU NA BADO WAPUMBAVU WANAMPENDA
#kazikwelikweli
Ww ndugu haueleweki hoja yako ni nini, yaani kwa wengine it's OK ila ikija kwa Diamond its a crime.Bongo "Flava" Ni sawa na kusema ladha ya muziki kutoka bongo na ndani yake kuna sounds tofauti tofauti ambazo zipo ndani ya GENRE moja
Ni sawa na useme Bongo bangra ya Akili the brain au baibuda alizopromote sana Kassim, au bongo flava ya mwanzoni iliyoegemea kwenye Zouk Rhumba ambazo zilipendwa sana na Stara Thomas, Lady Jay dee, Bushoke etc
Kwa hiyo Takeu sio genre ila ni sound ndani ya bongo flava
Ungekuwa unafuatilia muziki ungejua hata nje wasanii ni wengi sana ila kinachowapa mileage ni kuwa powerfully vocally na kiuandishi ili kikubwa zaidi uwe na unique sound
Leo kuna black artist anaitwa SZA anavunja rekodi huko mbele kwa sababu anasound, ukimsikiliza humfananishi na yoyote na RnB anayoimba ni unique
Angalia, Mb Dog, Juma Nature, TID, Mr Nice wote walipata domination kimuziki sababu ya "sound" au musical identity , unataka kujua kwa Diamond ilikuwaje
Diamond alianza kuimba bongo flava aliyoikuta ila alipopata commercial success baada ya My number One ft Davido, hadi leo anaimba chochote kilichopo commercially successful
Ameimba kwaito, sasa hivi yupo na amapiano mara Afro fusion & Beatz, na anacopy kila kitu hadi matamshi ya kipopo na kizulu. Cha msingi INAMPLIPA
Ndio maana Diamond atasifiwa sana kimafanikio ila ni nadra tena sana kukuta mtu yoyote anamquote kimuziki kwa sababu kwenye sanaa ya muziki haswa bongo flava, huwezi ona sound yake ambayo ndio tafsiri ya msanii kuwa kamili, genius na impactful kwa Genre yake
Na usimlete Ali kiba sikumtaja popote kwa sababu wote wanaishi kwenye kapu moja na Dai. Focus na Diamond, sitaki mahaba nahitaji FACTS
Tatizo ni mtu wa kuu update atakuwa hayupoMuziki kamwe haufi; upo milele kw mtandao. Unadhan Miziki ya Michael Jackson, Whitney Houston imekufa? Ni kw akifa kijana tutapoteza his potential songs ila ana jina na miziki kibao ambayo itaishi milele
Mziki ni subjective mkuu..."Inama niipenyeze kwa chini... nikulambe mtaro kisha nikuchape na fimbo... unilambe koni mpaka nikamkam!"
MPUMBAVU ALIYETAJIRIKA KUIMBA UPUMBAVU NA BADO WAPUMBAVU WANAMPENDA
#kazikwelikweli
Ww ndugu haueleweki hoja yako ni nini, yaani kwa wengine it's OK ila ikija kwa Diamond its a crime.
Psquare mbona walifanya afro fusion kwa ku copy vionjo ktk US music na wakafanikiwa kabla ya hapo 2face alikuwa akiimba pure afrobeat.
Kina burna, wizkid, tiwa, na davido ambao waliikuja kuchukua muziki wa Africa at higher level pia walifanya afro fusion kwa ku copy vionjo kutoka US music na wakafanikiwa.
Tunaposema sound mpya ni km Asake anaimba sana kilugha yoruba na kuchanganya kidogo na afro fusion ila hakuna kitu kipya maana watu waliisha fanya hivyo wayback.
Rema, Joe boy hawa mfano ndio wanafanya kbsa afro fusion ambapo ni mchanganiko wa nigeria music na us music.
Speaking of amapiano ni universal sound na ndio maana nakwambia ww jamaa unachekesha. Yaani akifanya diamond its a crime ila wengine ma genius au ndio kusema Davido na burna ndio wasanii pekee Africa wenye vocal kali? Maana ndio wasanii wenye mafanikio zaidi kwa mwaka jana ila wote wamefanya piano hadi Chris kafanya piano.
Diamond anafata soko la Africa na dunia lilivyo hiyo dominant ya kina Mr Nice sijui dully hadi leo Jaymelody ame dominate Tz na kenya kwa vile hawa watu bado wanapenda pure bongo fleva ila pure bongo fleva hutoboi zaidi.
Huyo burna ambaye ndio Top artist in Africa ame copy kila kitu kwa fella kutti na ku add afro fusion ndio akawa msanii mkubwa na kutusua zaidi duniani, aya tuambie hiyo sound nzuri na vocal kali za burna ni zipi?????????
The brother was a real deal back then. The one you could say he's the founder of bongo Fleva[not Bongo Hip Hop]. By the way Nilitaka kushangaa how comes you are mentioning the name of TID, Mb Dogg etc and you are not mentioning the name of brother Dully.Dully sykes pure bongo flava ya mwanzo ilikuwa sound yake
Koma wewe! Mke wangu hawajui hao ni swala tano, kutwa kunipa mahubiri ma kuniamsha niswali.Mziki ni subjective mkuu...
Mfano ww ni hater wa mond but mkeo ni mfuatiliaji mkubwa wa la masimba
we jamaa hufai 😁😁😁😁🖐Haya mashairi ya "" I go die fo u hayawezi kushindana na kina davido[emoji23]
Aishi sana asee
Mkuu I didn't overlook him kabisa, ila tunasema yeye alianzisha na hao wengine wakatengeneza different sounds ambazo hadi leo ndio zinatumikaThe brother was a real deal back then. The one you could say he's the founder of bongo Fleva[not Bongo Hip Hop]. By the way Nilitaka kushangaa how comes you are mentioning the name of TID, Mb Dogg etc and you are not mentioning the name of brother Dully.
Ndugu muziki haujui ww na thibitisha tena kuwa unachekesha, " Burna yupo inspired na Fella" akifanya Diamond copy cat. Na ndio maana nakwambia uache ngenga burna ka copy kila msanii unayemjua ww za wasanii wakubwa mbali mbali US hadi Africa ila unaleta ngenga et yupo inspired. Album zake zote ana copy kutoka ngoma tofauti na uache kulainisha maneno et inspired.Sasa ulichokuwa unabisha ni nini ??...
Nilichokisema ndio unachokiongelea
Kwenye original comment yangu nilisema Diamond ameongeza thamani ya muziki wa bongo flava commercially
Ila kwenye bongo flava "kimuziki au artistry" hana contribution yoyote kwa sababu hana sound ambayo tunaweza kusema akifa leo, bhasi Bongo flava is done kama mada ilivyolenga
Na nikamuita copycat japo ilikujera ila na wewe umethibitisha anacopy ili kwenda global, so point yako unayonibishia ni ipi zaidi
Mimi nimestick kwenye point moja " Diamond ni commercial artist ila kwenye genre ya bongo flava hajaongeza chochote kimuziki"
Wewe hubishi ila unasema kuwa na sound sio muhimu au wengine mbona wanacopy which automatically means unakubali kuwa Diamond hana sound hivyo, hana identity wala modification yoyote aliyoifanyia bongo flava iende global instead anacopy muziki ya watu waliozifanikisha genre zao kwenda zilipo global. So, hiyo inapelekaje muziki wa bongo flava globally, Make it make sense
Huko Nigeria au SA wanachokifanya ni kama Congo tu. Wanapush genre yao duniani kwa hiyo what matters ni nchi zao ziendelee kudominate chats
Na hii ni kwa wenye unique sound kama simi au kama Burna ambaye yupo inspired na Fella au wengine kama Rema au Ayra wanaoimba kilichopo since washafunguliwa njia globally.
Hata hivyo, maneno yako yashakubaliana na nilichokisema so hakuna haja ya kuendelea na hii discussion. Good day mr