Diamond: Simba byebye walimhujumu ndugu yangu Manara

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Diamond Platnumz ametangaza rasmi kujiunga katika klabu ya Yanga SC akitokea katika klabu ya Simba SC kama Shabiki na Mwanachama.

"Walimfanyia Fitina Manara, kwanza Manara ni ndugu yangu ukimfanyia Fitina Manara umenifitini na mimi"- Diamond Platnumz, Msanii wa muziki na Mkurugenzi Mtendaji wa Wasafi Media, WCB Wasafi.

#YangaParade #yangasc #daimambelenyumamwiko #timuyawananchi

NBC: Harmonize ( jeshi) Diamond Platinumz, (world superstar) alikiba (legend) vannboy (chui) marioo.

Wote ni wananchi

Wanasimba Sasa [emoji23][emoji23]
Kingwendu
Kitale
Mkojani
Tundamani
cocastic
 
Katika wote uliotaja namkubali Ali Kiba tu.
Wengine ni wa kawaida sana.U free mason tu
🀣🀣🀣 kwenye list ya mazinge huyo Ali kiba nae yumo kwenye huo u-freemason
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…