Diamond: Simba byebye walimhujumu ndugu yangu Manara

Diamond: Simba byebye walimhujumu ndugu yangu Manara

Diamond Platnumz ametangaza rasmi kujiunga katika klabu ya Yanga SC akitokea katika klabu ya Simba SC kama Shabiki na Mwanachama.

"Walimfanyia Fitina Manara, kwanza Manara ni ndugu yangu ukimfanyia Fitina Manara umenifitini na mimi"- Diamond Platnumz, Msanii wa muziki na Mkurugenzi Mtendaji wa Wasafi Media, WCB Wasafi.

#YangaParade #yangasc #daimambelenyumamwiko #timuyawananchi

NBC: Harmonize ( jeshi) Diamond Platinumz, (world superstar) alikiba (legend) vannboy (chui) marioo.

Wote ni wananchi

Wanasimba Sasa [emoji23][emoji23]
Kingwendu
Kitale
Mkojani
Tundamani
cocastic
View attachment 2656295

Mbona alihama miaka 2 iliyopita? Wewe umejua Leo?
 
Hakuwa shabiki huyu...

Hivi dili la bandari limefikia wapi vile?
Kwenye global economy the government can't complete with private sector....in investments

Rather than the government should create an enabling environment to private sector [emoji106][emoji106][emoji106]
 
Back
Top Bottom