Diamond: Simba byebye walimhujumu ndugu yangu Manara

Wamanyema hua wanapendana popote wanapokua, hao akina kirumbe ng’enda, zamaradi, diamond, rommyjones, Zitto, Asha baraka, mwijakuzi, kaseja, kiba, manara na wengine wengi wanajuana vyema
Kwamba manara ni mmanyema??
 
Alikua anacheza namba ngapi hapo Simba?
manara najua alikua ni chawa wa boss, kwa chawa awepo au asiwepo huwa hana faida
Lkn Baada ya manara kusepa .....kombe Gani mmechukua
 
Unawezaje kuhama timu mpenzi na shabiki wa kweli?
Hili ndio watu wanapaswa kujiuliza.

Ni juzi tu hapa tumesikia voice note ya Manara akiwa analalamika kuhusu mpango kazi wa Simba kwenye kuhamasisha wanachama kununua kadi..

Leo hii wote hao wamesahau na kumuona kama mwenzao wa siku zote licha ya kwamba jamaa amejithibitisha kuwa yeye ni Simba.
 
Hakuna upenzi wa timu wa namna hiyo...

Kwa maana hiyo yeye Diamond ni mfuasi wa Manara na si Yanga...

Manara itafika wakati ataondoka Yanga kama ambavyo alivyoondoka Simba...
 
Unaamini kwenye hilo
 


Sioni nawezaje kuhama team, na nikawa mshabiki wa kweli na moyo. Kuna vitu kwangu havibadiliki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…