Diamond: Simba byebye walimhujumu ndugu yangu Manara

Sasa Domokayaa nani anamstuaa? Kwa lipi hasa??
Tena abakie huko huko. Na hata akitaka kuhamia kokote atakako kuwepo takadini wake, sio shida zangu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo penyewe umetoka kukata mauno ....ya wimbo wa platinumz
 
Sasa huyo chaijaba alikuwa na msaada gani kwa Simba na ataisadia nini Yanga kama siyo sifa za kijinga tu
 
Mimi timu Yangu ya udogoni nilikuwa Kolo lakini nikahama .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…