Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
- Thread starter
- #121
Hapo penyewe umetoka kukata mauno ....ya wimbo wa platinumzSasa Domokayaa nani anamstuaa? Kwa lipi hasa??
Tena abakie huko huko. Na hata akitaka kuhamia kokote atakako kuwepo takadini wake, sio shida zangu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]