Duu aisee yaani mwandiko wako na kile unacho kizungumza utakuwa umekaa American Chips Kinondoni.
Okay husihofu humu jamii forum ni ulimwengu mwengine kabisa, so lazima ujipakulie minyama hata mimi nishakaa sana UK miaka 4,US miaka 9.
Hizo suction si za juzi,hazina hata miaka mitatu,Koffi kaanza kuimba tokea miaka ya tisini huko kutengeneza hela ya kutosha. Koffi sasa anafanya kama kujifurahisha ila ana utajiri wa kutisha na bado hajafika huko Marekani.
Nani anaruka acha utumwa wa kifikra, yaani wewe unaangalia jina ila sio thamani jina, kwa hiyo kwako hesabu zilivyo kupiga chenga utachagua dollar.........daah halafu ww ndio upo Marekani.
Sasa sijajua mimi na ww nani anarukaruka, kwani mjadala wa dollars umeingiaje na nani kaunzisha, unahamisha magoli mwenyewe hata hujui unasimamia wapi.
Kwa sasa tena umehamisha magoli? 2004 vipi una swali jingine.Monde arabe ya koffi ilitoka mwaka gani?
kwamba kuwa marekani Big deal au?
Mtumwa fikra ww,haya huyu mama ana hit gani US?Jibu swali?
The way unavyojenga hoja humu ni sawa tu na anayeishi Bongo huna exposure yeyote kama kweli upo Marekani basi ujue exposure yako inazidiwa sana na watu wengi wa bongohuwez kujua kila kitu na sijakuambia hivyo ila nina advantage kubwa ya kujua zaidi kuliko anaishi bongo.
Huo mwandiko wake sio wa mtu mwenye exposure kama anavyodai..kwa kumuangalia tu nimegundua kama hayupo chuo hapa bongo kwa sasa basi ni moja ya product ya chuo inayosubiri ajira mtaani..the way wewe unavyojenga hoja na yeye anavyojibu ni mbingu na ardhi
The way unavyojenga hoja humu ni sawa tu na anayeishi Bongo huna exposure yeyote kama kweli upo Marekani basi ujue exposure yako inazidiwa sana na watu wengi wa bongo hata baadhi ya watu unaobishana nao kwenye uzi huu angalia jinsi wanavyojenga hoja then jicheki na wewe kwa mtu mwenye akili anajua kabisa unatufunga kama haupo USA kama unavyodai wala nini!!.Tatzo la hii Forum watu waongo huwa wasahaulifu sana leo hii mtu anaweza kuanzisha thread anaomba msaada wa kutengeneza baiskeli yake ya madafu halafu baada ya mwaka mmoja anasahau anaanzisha uzi wa kuulizia afanye nini na mtaji wa millioni mia alizozipata kwa kufanya kazi mwaka jana nchini marekani
kwasababu najua kwamba unataka tubishana ndomana natumia nafasi kukuchallege tu but sina muda wa kujitetea coz najua umejipanga kubisha.
so tunaenda the way unavyotaka coz tusipotezea muda wa kukuelewesh kitu ambacho hutoelewa
Huo mwandiko wake sio wa mtu mwenye exposure kama anavyodai..kwa kumuangalia tu nimegundua kama hayupo chuo hapa bongo kwa sasa basi ni moja ya product ya chuo inayosubiri ajira mtaani..the way wewe unavyojenga hoja na yeye anavyojibu ni mbingu na ardhi
Mtumwa fikra ww,haya huyu mama ana hit gani US?
View attachment 2164398
View attachment 2164399
Kwa hiyo ww kwako msanii mkubwa mpaka awe na hits.
Swali lipi kimataifa?hujajibu swali bado
Akili huna na utapakatwa soonWapi nilikutukana Mkuu
Huyu alikuwa na maana Diamondi ni wa kikanda zaidi kuliko global kama walivyo waasanii wa Nija.Wewe ndo huna akili.
Kimataifa sio lazima Marekani..
Kutoka Tz Hadi nchi yeyote Ile hata Burundi ..ni kimataifa tayari