Jay Z anamuheshimu Beyonce. Sio diamond anavyomfanyia Zuchu.
Zuchu na Diamond ni sawa na ‘Ike and Tina’ mpaka hiyo nyimbo 👇
View: https://m.youtube.com/watch?v=oGpFcHTxjZs&pp=ygUpdGluYSB0dXJuZXIgd2hhdCdzIGxvdmUgZ290IHRvIGRvIHdpdGggaXQ%3D
Sema Diamond anavuka mipaka anamu-exploit Zuchu kupitiliza. Age ya Zuchu na Bhoke wa Mangę ni sawa.
Zuchu ni katoto kenye talent ya kuimba tu na Diamond kaanza kukabemenda bado teenager. Kwa Zuchu, pengine Diamond ndio first serious love.
Astahili hizi fedhea Diamond anatakiwa aache, mapenzi na Zuchu abaki kama boss wake wa kazi.
Public negative news za Zuchu chanzo chake ni Diamond. Na Zuchu mwenyewe ni mtoto mdogo sana hana tofauti na mtoto wa rafiki yangu anaitwa Natalię anaishi U.K., Mama yake na mama-Dangote ni mashoga sasa sijui mipango yao ila Diamond ana mahusiano nako na kenyewe ni kadogo kama Zuchu (inadaiwa mama Dangote anataka Diamond amuoe Natalię).
Zuchu ni tunu ya taifa, Diamond amuache huyo mtoto tufaidi mziki wake; kuliko kumfanya kila siku aongelewe vibaya kisa yeye.
Bado naamini Zuchu ili kushamiri anahitaji kuwa chini ya wasafi, ila bila ya mahusiano na Diamond.
Diamond ni toxic kwa Zuchu, waachane kimapenzi. Wabaki msanii na boss.