and 100 others
JF-Expert Member
- Feb 3, 2023
- 3,707
- 12,367
sijasema hivyo kiongozi, soma vyema...Sasa kwanini unasema Diamond ametumia influence yake kumlagai?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sijasema hivyo kiongozi, soma vyema...Sasa kwanini unasema Diamond ametumia influence yake kumlagai?
😂😂😂Kwmba hana makalio na vititi kama nukta?? Ila jamani umaarufu zigo la mavi...
Afu we kamama why siku hizi hauniheshimu?🙁 tatizo lenu mkipata danga mnatusahau wahuni tulokua tunawanunulia mihogo na maji ya kandoro 😭😀🤣😄Atakuja kustuka too late, huyu nae hivi haoni km hapendwi toka kwa Domokaya hadi ndugu zake? Lol
Walai nimecheka sana kama namuona mondi na virasta vyake akimsukuma Zuhura huku anamkemea will be like "achana na mimi sikutakiiiii mbona unalazimisha penziiiii, ishia zako siwezi kua na demu mshamba anabana na uzi skin tight ya buku tatu....." nyie🤣🤣🤣🤣ndio maana nikamtaka Mondi amuache yeye, amkatae, amsukume, amkemee yaani kiufupi atumie njia zozote
Kama binti amekosa malezi mazuri kutoka kwa mamake mwache mhuni afaidi. Mama anakubali kabisa binti anaishi kwa mwanaume bila posa,mahari wala ndoa.Unaanzaje kumlaumu Dayamondi ?Huyu Mondi amemuweka Zuchu kama mateka wake, hamtunzi sawa sawa na wala hamuachilii aende, huyu binti tusipoangalia ataingia kwenye drugs na kuharibu maisha yake yooooooote, she is acting strong outside but inside she is so depressed,
Nadhani tuliyaona kwa Vanessa na Jux the girl alikuwa analazimisha furaha nje siku yalipomfika shingoni ndio tukagundua kuwa anasumbuliwa na depression kali,
Wasanii wa kiume hawa deserve good girls, wao wanatakiwa wawe na mikurubembe iloshindikana na mitume ndio wanapanda nayo na kushuka nayo kwa hawa church girls ni mateso na huzuni kwao, soon tutampoteza Zuchu kwenye kiwanda cha muziki na hata kimaisha.
Hakuna binaadamu anayeweza kuvumilia usaliti wa wazi wazi kutoka kwa mwenza wake na akawa sawa, this is too much it's time for him to let her go, leave the girl alone hata kama anakung'ang'ania na kukuganda mtoe kwa nguvu time alone will heal her,
Kwako Zuchu you deserve better, it's clear the man is destroying you, najua unataka kuwaonesha watesi wako kua umeishinda vita lakini jiangalie unapoteza muda wako, at your 30s unapaswa kua umesettle down na mtu mnatengeneza familia, unajikosesha kuzaa kwa kusubiri ndoa kwa muhuni, huyo muhuni hawezi kukupa furaha kamwee tena shukuru huna mtoto, imagine muhuni anakukosesha furaha na upo na kiumbe chake unalea, girl stop it, focus kwenye ajira yako, Allah atakujaalia mume mwenye kheir na wewe,
InnaAllah Maasabirin (Mola yu pamoja na wenye kusubiri)
Update:
Haya mengine mapya kumbe Mondi alimdanganya binti wa watu anamtolea posa tarehe 31 January this year, familia imekusanyika siku ya mahari jamaa hafiki na simu hapokei, saa nne usiku ndio anampigia simu mama Zuchu kumwambia hawezi kwenda mama ake hamtaki Zuu kamwambia akimuoa atafute mama mwengine, huu kama sio uuaji ni nini jamani, mama ake alionesha kitambo kua hamtaki Zuu kwann ghafla iwe sababu ya yeye kutokumposa kisa mama, kama haitoshi after 3 days akamrubuni binti akaenda kwake na kumfungia ndani after few weeks wanajitokeza public kwenye harusi ya Jux, huyu jamaa ni manipulator,
Jamani mie mabinti wa Kizanzibar nawajua wakipenda wanapenda haswaa wana mapenzi ya kwenye movies za kihindi, hawajanjaruka kama waTanga na waMombasa huyu binti tutakuja kumkosa, narudia tena Zuchu tutakuja kumkosa, na hapo tuombe huyo muhuni asiwe kaanza kumlambisha sembe ndo tunamkosa kabisaaaaaaaaaa,
NASEEB MUACHE ZUHURA ACHA KUMTESA BINTI WA WATU.
#FREEZUCHU,PRAY4ZUCHU#
Habari za mapenzi hata wa 60 yrs wanadanganywa vitu watu wa nje wanavoviona tena vya hovyo mlengwa havioni kifupi mapenzi ni ujinga na unafik wa hali ya juu.Ni kwamba Zuchu haoni kuwa hatakiwi au karogwa? Kwa umri wake ni mtu mzima yule anatambua kila linaloendelea sasa kama kaamua mwenyewe kukaa mahala na anajua fika hatakiwi shauri zake.
Ni ngumu sana huyu binti kuja kutoka katika hili jambo labda aamue liwalo na liwe na asirudi nyuma kitu ambacho pia ni ngumu.Ni heri waachane,aondoke WCB, huwezi kufanya kazi na Ex wako mliyependana na mnaonana kila
Sio kila kitu utaambiwa humu. Vingine ukishapata kichwa cha habari vifuatilie mwenyewe kwa kutaka kujua zaidiNiambie wewee!
You know me very well sinaga matukio ndiomana nomarawaaaa huchomoki☺️Nipige tukio akili inikae sana...
Unajua Domokaya anahitaji kupata mwanamke at least awe na cha zaidi kwake.Zari mwenyewe yalimshinda kabisa sasa hivi anaenjoy na shakib,shakib anazidiwa umaarufu na pesa na diamond lakin lizuri mnoooo
Oooh babeee ulipotelea wapiii? Ndo ukanitekeleza mazima?Afu we kamama why siku hizi hauniheshimu?[emoji853] tatizo lenu mkipata danga mnatusahau wahuni tulokua tunawanunulia mihogo na maji ya kandoro [emoji24][emoji3][emoji1787][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Walai nimecheka sana kama namuona mondi na virasta vyake akimsukuma Zuhura huku anamkemea will be like "achana na mimi sikutakiiiii mbona unalazimisha penziiiii, ishia zako siwezi kua na demu mshamba anabana na uzi skin tight ya buku tatu....." nyie[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ko umeshindwa kunijuzaa?Sio kila kitu utaambiwa humu. Vingine ukishapata kichwa cha habari vifuatilie mwenyewe kwa kutaka kujua zaidi
Angemuwin Diamond angemtuliza akatulia tulii na akamuoaUnajua Domokaya anahitaji kupata mwanamke at least awe na cha zaidi kwake.
Zari Ali win hilo, ila na yeye akachoka akaamua atimke ndukiiii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
👏 👏 👏 tabia za dai zinajulikana, kuna asiyejua? Punda milia hawezi kubadili mistari yake. Ghafla bin vuu.. Zuhura anategemea atabadili rangi awe punda kwaajili yake. Ladies should choose betterTatizo lenu kiasili mnapendaga bad boys/playboys unaweza ukakuta hata huyu unaye mshauri hakuelewi,so tatizo sio Diamond bali tatizo ni nyie jinsia yenu ya kike.