majoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 2,595
- 4,775
Diamond anamtumia? Au wanatumia
Fuatilia ujue Zuchu anaifanyia nini WasafiItadorora kwa kipi? Na hawawezi kuachana kimapenzi, ila wakawa karibu kikazi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Diamond anamtumia? Au wanatumia
Fuatilia ujue Zuchu anaifanyia nini WasafiItadorora kwa kipi? Na hawawezi kuachana kimapenzi, ila wakawa karibu kikazi?
Naomba Tiffah asije akalipia ujinga wa baba ake jamaniYaan Zuchu kutoka kwa Mondi Mungu amsaidie,diamond ni manipulator na toxic,Zuchu kwa kazi anazofanya na umaarufu angekuwa na bwana anaemtaka akaenjoy maisha ,Mond kwa sasa ujana umekolea haswaa hawezi settle na demu mmoja ila uzuri malaya huwa wanapata watoto wa kike malipo hapa hapa
Zuchu amependa ameshakua kipofu sasa Mondi kwa kua hisia hana ndie amuache aende zakeKwa nini Diamond ndio amuache zuchu na sio Zuchu amuache Diamond.
Wow! Natamani Zuu angeusoma huu ujumbe mzuri sana labda moyo wake ungelainika na kuijua thamani yake,Pole sana Zuchu...
Binafsi naomba uachane na Daimond kimya kimya, ongea na Diamond uendelee kufanya kazi wasafi ila mahusiano yasitishe kimya kimya......i nadhani una dilemma sababu Public is involved. Kuna expectations nadhani unadhani unatakiwa uzimeet kwa Public. Hii inakunyima uhuru wa ku move on. Easy way out ni kufanya maamuzi magumu kimya kimya. Ukifanya hivi kutakuwa na less speculations kutoka kwa Public na hivyo kufanya kitendo cha ku move on easy. Pia nadhani una dilemma sababu unadhani Daimond made you, and you will be reduced to nothing kama ukiachana nae, just want to let you know hii ni dilemma inayowaface wanawake wengi wanapotaka ku move on , however; you are such a talented girl and you can be successful anywhere, wewe ni asset wasafi, just believe in your abilities. Move on before its too late. Again Pole sana
Mondi alishajisemea akimchoka mtu atampiga matukio aondoke mwenyewe, kwa hiyo hapa ni yeye Zuchu ndio azinduke aondoke sasa sijui ni nani wa kumuambia mana ni kama ufahamu hakuna ama labda ana target zake ambazo wengine hatujazijua bado.Zuchu amependa ameshakua kipofu sasa Mondi kwa kua hisia hana ndie amuache aende zake
SureWow! Natamani Zuu angeusoma huu ujumbe mzuri sana labda moyo wake ungelainika na kuijua thamani yake,
Thank you Becky for being positive juu ya mwanamke mwenzetu 😍🥰
Stop it plz...Chaiii hujui lolote kuhusu maisha yao private usijipe umuhimu usiokuhusu
Au unataka ukamsage na zuchu pia 😜🤣
Cc Culture Me
Atakuja kustuka too late, huyu nae hivi haoni km hapendwi toka kwa Domokaya hadi ndugu zake? LolNdio tunatamani iwe hivyo, wafocus na kazi tatizo mzanzibar amependa, kafa kaoza kwa muhuni
Niambie wewee!Fuatilia ujue Zuchu anaifanyia nini Wasafi
Kwmba hana makalio na vititi kama nukta?? Ila jamani umaarufu zigo la mavi...Hayupo sawa huyu binti mbaya zaidi anapitia na cyber bullying pia
Hajamshika yeye mwenyewe inabidi aamue aende. Yale yale ya kulaumiwa marehemu rugr ndiyo hayo hayo anafanya bwana mkubwa.Huyu Mondi amemuweka Zuchu kama mateka wake, hamtunzi sawa sawa na wala hamuachilii aende, huyu binti tusipoangalia ataingia kwenye drugs na kuharibu maisha yake yooooooote, she is acting strong outside but inside she is so depressed,
Nadhani tuliyaona kwa Vanessa na Jux the girl alikuwa analazimisha furaha nje siku yalipomfika shingoni ndio tukagundua kuwa anasumbuliwa na depression kali,
Wasanii wa kiume hawa deserve good girls, wao wanatakiwa wawe na mikurubembe iloshindikana na mitume ndio wanapanda nayo na kushuka nayo kwa hawa church girls ni mateso na huzuni kwao, soon tutampoteza Zuchu kwenye kiwanda cha muziki na hata kimaisha.
Hakuna binaadamu anayeweza kuvumilia usaliti wa wazi wazi kutoka kwa mwenza wake na akawa sawa, this is too much it's time for him to let her go, leave the girl alone hata kama anakung'ang'ania na kukuganda mtoe kwa nguvu time alone will heal her,
Kwako Zuchu you deserve better, it's clear the man is destroying you, najua unataka kuwaonesha watesi wako kua umeishinda vita lakini jiangalie unapoteza muda wako, at your 30s unapaswa kua umesettle down na mtu mnatengeneza familia, unajikosesha kuzaa kwa kusubiri ndoa kwa muhuni, huyo muhuni hawezi kukupa furaha kamwee tena shukuru huna mtoto, imagine muhuni anakukosesha furaha na upo na kiumbe chake unalea, girl stop it, focus kwenye ajira yako, Allah atakujaalia mume mwenye kheir na wewe,
InnaAllah Maasabirin (Mola yu pamoja na wenye kusubiri)
Update:
Haya mengine mapya kumbe Mondi alimdanganya binti wa watu anamtolea posa tarehe 31 January this year, familia imekusanyika siku ya mahari jamaa hafiki na simu hapokei, saa nne usiku ndio anampigia simu mama Zuchu kumwambia hawezi kwenda mama ake hamtaki Zuu kamwambia akimuoa atafute mama mwengine, huu kama sio uuaji ni nini jamani, mama ake alionesha kitambo kua hamtaki Zuu kwann ghafla iwe sababu ya yeye kutokumposa kisa mama, kama haitoshi after 3 days akamrubuni binti akaenda kwake na kumfungia ndani after few weeks wanajitokeza public kwenye harusi ya Jux, huyu jamaa ni manipulator,
Jamani mie mabinti wa Kizanzibar nawajua wakipenda wanapenda haswaa wana mapenzi ya kwenye movies za kihindi, hawajanjaruka kama waTanga na waMombasa huyu binti tutakuja kumkosa, narudia tena Zuchu tutakuja kumkosa, na hapo tuombe huyo muhuni asiwe kaanza kumlambisha sembe ndo tunamkosa kabisaaaaaaaaaa,
NASEEB MUACHE ZUHURA ACHA KUMTESA BINTI WA WATU.
#FREEZUCHU,PRAY4ZUCHU#
Kuna kipindi walikua wanamuita 'lady boy'Kwmba hana makalio na vititi kama nukta?? Ila jamani umaarufu zigo la mavi...
Ana nyota ya UKIMWI🤣🤣🤣Ila huyo Dimond mbona kama genye zake ziko high level?? Maana kila kona wanawake...
Anakwambia "we chezewa ukimaliza nenda, hatuachani kisa ujinga" kumbe kenyewe ndio kanachezewa maskini, kweli kupenda upofuAtakuja kustuka too late, huyu nae hivi haoni km hapendwi toka kwa Domokaya hadi ndugu zake? Lol
Yani umaarufu una mambo mengi sanaaa mi siyawezi..Kuna kipindi walikua wanamuita 'lady boy'
Umaarufu ni shida sana hawa maStar wanapitia mengi, yote tisa familia ya kina Kardashians nahisi ndio inaongoza kuchukiwa duniani 🙌🏻
Yaan anataka kuonesha yeye ni komando, kuuweza Mfupa uliowashinda mafisi.Anakwambia "we chezewa ukimaliza nenda, hatuachani kisa ujinga" kumbe kenyewe ndio kanachezewa maskini, kweli kupenda upofu
Hivi mnadhani Zuchu pale kapenda kwa Domo,kama Adamu alifelishwa na Hawa basi msanii atakaye ondoka na faida kubwa kama sio kumuangusha kabisa Diamond ni bi Zuhura mda utaongea.Zuchu amependa ameshakua kipofu sasa Mondi kwa kua hisia hana ndie amuache aende zake