Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Wazanzibar hawaachikiAnakwambia "we chezewa ukimaliza nenda, hatuachani kisa ujinga" kumbe kenyewe ndio kanachezewa maskini, kweli kupenda upofu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazanzibar hawaachikiAnakwambia "we chezewa ukimaliza nenda, hatuachani kisa ujinga" kumbe kenyewe ndio kanachezewa maskini, kweli kupenda upofu
Zari mwenyewe yalimshinda kabisa sasa hivi anaenjoy na shakib,shakib anazidiwa umaarufu na pesa na diamond lakin lizuri mnooooYaan anataka kuonesha yeye ni komando, kuuweza Mfupa uliowashinda mafisi.
Toka Zari abwage manyanga, sioni mwanamke wa kumuweza Domokayaa.
Hakuna Mwanamke Duniani anavumilia Usaliti labla awe na faida na hayo mahusiano.Wazanzibar hawaachiki
Kwani diamond anawalazimisha kuwa nao au njaa zao wenyewe ndio zinawapelekaPower imbalance. Hii concept inawasumbua sana wabongo kuelewa sababu ya lack of exposure na elimu.
Ni vigumu sana mtu aliye chini yako kikazi kukataa mahusiano na wewe wakati unaweza mbananisha kwenye maslahi yake. Inawezekana zuchu anagoma na nasikia alitoa waraka na kusema yeye na Mondi wameachana ila akafuta the very next day. Nani anajua alitishiwa nini? Mondi ni boss wa Zuchu, Mondi anaweza kusema sikulipi stahiki zako unataka zuchu akale wapi?
Boss anaweza kuwa mwananmke na akambana mwanaume hivyo hivyo, umewahi kusikia houseboy kakataa mahusiano na mama house hata siku moja? Unadhani wote wanapenda?
Ni dhahiri mondi anatumia position yake kuwabana hawa warembo; hii pisi leo ilikua video vixxen kwenye video ya mondi, in other words, mfanyakazi wake temporarily ila akaishia kupita nae. Hiyo tu ni ushahidi tosha kwamba anatumia nafasi yake kama fimbo. Sitashangaa vixxens wengine wakijitokeza na kudai mondi alipita nao wakiwa mazingira ya kazi.
Jisomee: "if there is a power imbalance leading to potential for coercion or creating a hostile work environment, which could be considered sexual harassment or discrimination under employment laws; most companies have policies discouraging relationships between supervisors and their direct reports"
Inamaana Zuchu hafaidiki na chochote kwa kutoka na Diamond?Tatizo si Diamond ila ni Zuchu mwenyewe kakubali kuchezewa......yaani ni dhahiri kabisa kuwa Zuchu hajiamini au anaona Diamond ndiyo mume anayemfaa maishani wakati wala hawaendani kabisa, you can tell it from the outside kuwa ni Zuchu ndiye anayelazimisha hili penzi. Kwa kweli anasikitisha na hashauriki, anazeeka rapidly kwa stress za kuchekwa na wenzake.
Tatizo lenu kiasili mnapendaga bad boys/playboys unaweza ukakuta hata huyu unaye mshauri hakuelewi,so tatizo sio Diamond bali tatizo ni nyie jinsia yenu ya kike.
Ngoja nikuulize kati ya diamond na Zuchu nani alikuwa anamtaka mwenzake kimapenzi?Ni kweli mkuu lakini pia msanii mwenyewe pia anahitaji kuwa na dira na juhudi za kufanikisha ndoto zake..
Kama Diamond atamlea Zuchu kitaaluma zaidi kuliko kimapenzi, anaweza kupata mafanikio makubwa zaidi
Beyonce na Jay Z walikuwa na mahusiano lakini bado Beyonce alifanikiwa sana , tofauti ni kwamba, Jay Z hakuwahi kuwa kikwazo kwenye muziki wa Beyonce , badala yake, alimsaidia kujijenga kama msanii huru, alikuwa kiongozi wa Roc Nation kama Diamond alivyo kiongozi wa Wasafi, lakini hakufanya uhusiano wao kuwa chanzo cha drama kwenye career ya Beyonce...
Kwa hiyo, Beyonce alifanikiwa si kwa sababu tu ya kuwa na Jay Z, bali kwa sababu alikuwa na dira ya kujitengenezea legacy yake mwenyewe. Kama Zuchu naye atakuwa na hiyo mentality na Diamond akamruhusu ajisimamie zaidi kama msanii independent ndani ya Wasafi, basi anaweza kuwa staa wa kimataifa kama Beyoncé alivyojipambanua kutoka kivuli cha Jay Z....
Tatizo linakuja kama uhusiano wa kimapenzi unakuwa na drama inayosababisha emotional distractions, gossip, au maamuzi yasiyofuata misingi na matakwa ya kazi kisa tu ni mapenzi...
Suala la marketing wasafi wamefanikiwa sana katika hilo, na ndiyo maana wasanii wao wengi hupata streams nyingi, si tu kwa sababu ya vipaji vyao bali pia kwa mfumo wao wa uendelezaji wa muziki katika promotion & distribution. Abbah ni producer mzuri, lakini kwa upande wa promotion hafikii wasafi...
Kwanini usimshauri huyo zuchuHaya mengine mapya kumbe Mondi alimdanganya binti wa watu anamtolea posa tarehe 31 January this year, familia imekusanyika siku ya mahari jamaa hafiki na simu hapokei, saa nne usiku ndio anampigia simu mama Zuchu kumwambia hawezi kwenda mama ake hamtaki Zuu, kamwambia akimuoa atafute mama mwengine, huu kama sio uuaji ni nini jamani, mama Mondi alionesha kitambo kua hamtaki Zuu kwann ghafla iwe sababu ya yeye kutokumposa kisa mama, kama haitoshi after 3 days akamrubuni binti akaenda kwake na kumfungia ndani after few weeks wanajitokeza public kwenye harusi ya Jux, huyu jamaa ni manipulator, 🙌🏻
Jamani mie mabinti wa Kizanzibar nawajua wakipenda wanapenda haswaa wana mapenzi ya kwenye movies za kihindi, hawajanjaruka kama waTanga na waMombasa huyu binti tutakuja kumkosa, narudia tena Zuchu tutakuja kumkosa, na hapo tuombe huyo muhuni asiwe kaanza kumlambisha sembe ndo tunamkosa kabisaaaaaaaaaa,
NASEEB MUACHE ZUHURA ACHA KUMTESA BINTI WA WATU.
#FREEZUCHU,PRAY4ZUCHU#
Kwahiyo Zuchu hafaidiki kwa mondi? Si ndio unamaanisha hivyoFuatilia ujue Zuchu anaifanyia nini Wasafi
Kwa kweli sifahamu mkuu..Ngoja nikuulize kati ya diamond na Zuchu nani alikuwa anamtaka mwenzake kimapenzi?
Hizi sifa zitatoka tu kwa mwanaume anayetaka kukutumia.
Watu watalia na Maisha yataendelea kwani mkataa pema pabaya pana mwita yeye si mtoto ukute ni mkubwa kuliko huyo DiamondHasi siku Zuchu aje ajiue ndo watu wataelewa madhira anayopitia. Save someone's life while still you can. Don't be the reason why someone is having a hard time.
Thank you kwa kuelewa hili, inabidi uwe na akili kubwa kuielewa situation ya Zuchu,Hasi siku Zuchu aje ajiue ndo watu wataelewa madhira anayopitia. Save someone's life while still you can. Don't be the reason why someone is having a hard time.
Wewe ni Mange Kimambi?Huyu Mondi amemuweka Zuchu kama mateka wake, hamtunzi sawa sawa na wala hamuachilii aende, huyu binti tusipoangalia ataingia kwenye drugs na kuharibu maisha yake yooooooote, she is acting strong outside but inside she is so depressed,
Nadhani tuliyaona kwa Vanessa na Jux the girl alikuwa analazimisha furaha nje siku yalipomfika shingoni ndio tukagundua kuwa anasumbuliwa na depression kali,
Wasanii wa kiume hawa deserve good girls, wao wanatakiwa wawe na mikurubembe iloshindikana na mitume ndio wanapanda nayo na kushuka nayo kwa hawa church girls ni mateso na huzuni kwao, soon tutampoteza Zuchu kwenye kiwanda cha muziki na hata kimaisha.
Hakuna binaadamu anayeweza kuvumilia usaliti wa wazi wazi kutoka kwa mwenza wake na akawa sawa, this is too much it's time for him to let her go, leave the girl alone hata kama anakung'ang'ania na kukuganda mtoe kwa nguvu time alone will heal her,
Kwako Zuchu you deserve better, it's clear the man is destroying you, najua unataka kuwaonesha watesi wako kua umeishinda vita lakini jiangalie unapoteza muda wako, at your 30s unapaswa kua umesettle down na mtu mnatengeneza familia, unajikosesha kuzaa kwa kusubiri ndoa kwa muhuni, huyo muhuni hawezi kukupa furaha kamwee tena shukuru huna mtoto, imagine muhuni anakukosesha furaha na upo na kiumbe chake unalea, girl stop it, focus kwenye ajira yako, Allah atakujaalia mume mwenye kheir na wewe,
InnaAllah Maasabirin (Mola yu pamoja na wenye kusubiri)
Update:
Haya mengine mapya kumbe Mondi alimdanganya binti wa watu anamtolea posa tarehe 31 January this year, familia imekusanyika siku ya mahari jamaa hafiki na simu hapokei, saa nne usiku ndio anampigia simu mama Zuchu kumwambia hawezi kwenda mama ake hamtaki Zuu kamwambia akimuoa atafute mama mwengine, huu kama sio uuaji ni nini jamani, mama ake alionesha kitambo kua hamtaki Zuu kwann ghafla iwe sababu ya yeye kutokumposa kisa mama, kama haitoshi after 3 days akamrubuni binti akaenda kwake na kumfungia ndani after few weeks wanajitokeza public kwenye harusi ya Jux, huyu jamaa ni manipulator,
Jamani mie mabinti wa Kizanzibar nawajua wakipenda wanapenda haswaa wana mapenzi ya kwenye movies za kihindi, hawajanjaruka kama waTanga na waMombasa huyu binti tutakuja kumkosa, narudia tena Zuchu tutakuja kumkosa, na hapo tuombe huyo muhuni asiwe kaanza kumlambisha sembe ndo tunamkosa kabisaaaaaaaaaa,
NASEEB MUACHE ZUHURA ACHA KUMTESA BINTI WA WATU.
#FREEZUCHU,PRAY4ZUCHU#
Sasa kwanini unasema Diamond ametumia influence yake kumlagai?Kwa kweli sifahamu mkuu..