Diamond tafadhali muache Zuchu huru mbakie kwenye biashara pekee

Hiyo ya kubana skin tight nilicheeeeka hapo ndio nilipojua binti amevurugwa🥺
 
Awww hadi machozi yamenitoka jamani ujumbe mzito sana huu, i wish Zuhura angeusoma na kuchukua maamuzi ya haraka,

Upo sahihi dear kuhusu somo la saikolojia kufundishwa mashuleni na umejua kumdescribe vizuri huyo Naseeb Narcissist
 
Unajua Domokaya anahitaji kupata mwanamke at least awe na cha zaidi kwake.

Zari Ali win hilo, ila na yeye akachoka akaamua atimke ndukiiii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa huyo atatoka wapiii 😒 kama mpaka anawalawiti sio rahisi kuja kukaa na mwanamke hata awe mapembe, zari aliweza vile she's intelligent with exposure than him 😷.
 
Kwani tatizo ni Nasibu au Zuchu mwenyewe kuwa king’ang’a ??!
pamoja na kupigwa matukio lakini yupo tu.
 
Sizani kama itakuwa rahisi kuua mhuni mwenzie asiee.
Mwenyewe alishasema hata binti yake hataki aje kuwa mwana mziki maana anajua uchafu uliopo huko kwenye hiyo industry
 
Awww hadi machozi yamenitoka jamani ujumbe mzito sana huu, i wish Zuhura angeusoma na kuchukua maamuzi ya haraka,

Upo sahihi dear kuhusu somo la saikolojia kufundishwa mashuleni na umejua kumdescribe vizuri huyo Naseeb Narcissist
Nilikuambia dada yangu, mbele za wahuni dada zangu huwaga hampindui kabisa. Jana kwenye event ya Jux kuna clip nimeziona wakiwa wanaliendeleza libeneke lao la mapenzi.
 
Uwafikie Babu Take na Sallam SK
 
Nilikuambia dada yangu, mbele za wahuni dada zangu huwaga hampindui kabisa. Jana kwenye event ya Jux kuna clip nimeziona wakiwa wanaliendeleza libeneke lao la mapenzi.
Ukimuangalia kwenye zile videos anaforce furaha nakwambia yule kishaanza kulambishwa sembe, save haya maneno uzuri hayo madude utaficha mwanzoni baadae yanazibuka
 
Ukimuangalia kwenye zile videos anaforce furaha nakwambia yule kishaanza kulambishwa sembe, save haya maneno uzuri hayo madude utaficha mwanzoni baadae yanazibuka
Kwa kweli Zuhura kwa sasa kuna vitu anatumia ila mda ni mwalimu mzuri ila nasikitika Mama anashindwa kusimama kama mzazi akumbuke kila mchuma janga hula na wa kwao.
 
Kwa kweli Zuhura kwa sasa kuna vitu anatumia ila mda ni mwalimu mzuri ila nasikitika Mama anashindwa kusimama kama mzazi akumbuke kila mchuma janga hula na wa kwao.
Mama katangaza vita kwa yeyote atakayemsema mwanae atakula nae sahani moja, naona Bi Khadija kapokea kijiti cha Mama Wema🤣😄
 
Mama katangaza vita kwa yeyote atakayemsema mwanae atakula nae sahani moja, naona Bi Khadija kapokea kijiti cha Mama Wema🤣😄
Baadae asije kuomba msaada kwa jamii inayo mpa tahadhari mapema ila ata ukiangalia malezi bi Hadija ni aina ya Mama Diamond wazazi walio kulia kwenye Umalaya na pombe na madanga enzi zao kwa hiyo kwao ni kawaida.
 
huyo binti ana matatizo ya akili, unaanzaje eti kumpenda mwanaume malaya, kwa malengo gani? mategemeo gani? yeye alitakiwa akae pale ki fursa ikifika hatua akaona mambo hayaeleweki apotee.
 
yeye alitakiwa akae pale ki fursa ikifika hatua akaona mambo hayaeleweki apotee.
Na huu ndio ukweli pale yanafanyika maigizo yanayofanana ba ukweli na watu wanapiga pesa kimyakimya hakuna mahusiano pale Zuchu sio mjinga kihivyo
 
Zuchu na Daimond penzi limerudi upya!
Hawa wameshindikana, mama mtu kumbe anamsupport mtoto wake zuchu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…