Huyu Mondi amemuweka Zuchu kama mateka wake, hamtunzi sawa sawa na wala hamuachilii aende, huyu binti tusipoangalia ataingia kwenye drugs na kuharibu maisha yake yooooooote, she is acting strong outside but inside she is so depressed,
Nadhani tuliyaona kwa Vanessa na Jux the girl alikua analazimisha furaha nje siku yalipomfika shingoni ndio tukagundua kua anasumbuliwa na depression kali,
Wasanii wa kiume hawa deserve good girls, wao wanatakiwa wawe na mikurubembe iloshindikana na mitume ndio wanapanda nayo na kushuka nayo kwa hawa church girls ni mateso na huzuni kwao, soon tutampoteza Zuchu kwenye kiwanda cha muziki na hata kimaisha,
hakuna binaadam anayeweza kuvumilia usaliti wa wazi wazi kutoka kwa mwenza wake na akawa sawa, this is too much it's time for him to let her go, leave the girl alone hata kama anakung'ang'ania na kukuganda mtoe kwa nguvu time alone will heal her,
Kwako Zuchu you deserve better, it's clear the man is destroying you, najua unataka kuwaonesha watesi wako kua umeishinda vita lakini jiangalie unapoteza muda wako, at your 30s unapaswa kua umesettle down na mtu mnatengeneza familia, unajikosesha kuzaa kwa kusubiri ndoa kwa muhuni, huyo muhuni hawezi kukupa furaha kamwee tena shukuru huna mtoto, imagine muhuni anakukosesha furaha na upo na kiumbe chake unalea, girl stop it, focus kwenye ajira yako, Allah atakujaalia mume mwenye kheir na wewe,
InnaAllah Maasabirin (Mola yu pamoja na wenye kusubiri)
#FreeZuchu