Diamond tafadhali muache Zuchu huru mbakie kwenye biashara pekee

Diamond tafadhali muache Zuchu huru mbakie kwenye biashara pekee

Umeandika vizuri, ila tambua kitu kimoja kwenye haya maisha hakuna aijuaye kesho yake.....huenda hapo zuchu yupo kwenye safari ya kujifunza kitu ili kumjenga ktk mahusiano na maisha kwa ujumla, kiufupi yupo kwenye kipindi Cha mpito TU.

Zuchu hata anguka Wala kupotea Bali atajifunza vitu na kuwa imara zaida, time heals!!
 
Huyu Mondi amemuweka Zuchu kama mateka wake, hamtunzi sawa sawa na wala hamuachilii aende, huyu binti tusipoangalia ataingia kwenye drugs na kuharibu maisha yake yooooooote, she is acting strong outside but inside she is so depressed,

Nadhani tuliyaona kwa Vanessa na Jux the girl alikuwa analazimisha furaha nje siku yalipomfika shingoni ndio tukagundua kuwa anasumbuliwa na depression kali,

Wasanii wa kiume hawa deserve good girls, wao wanatakiwa wawe na mikurubembe iloshindikana na mitume ndio wanapanda nayo na kushuka nayo kwa hawa church girls ni mateso na huzuni kwao, soon tutampoteza Zuchu kwenye kiwanda cha muziki na hata kimaisha.

Hakuna binaadamu anayeweza kuvumilia usaliti wa wazi wazi kutoka kwa mwenza wake na akawa sawa, this is too much it's time for him to let her go, leave the girl alone hata kama anakung'ang'ania na kukuganda mtoe kwa nguvu time alone will heal her,

Kwako Zuchu you deserve better, it's clear the man is destroying you, najua unataka kuwaonesha watesi wako kua umeishinda vita lakini jiangalie unapoteza muda wako, at your 30s unapaswa kua umesettle down na mtu mnatengeneza familia, unajikosesha kuzaa kwa kusubiri ndoa kwa muhuni, huyo muhuni hawezi kukupa furaha kamwee tena shukuru huna mtoto, imagine muhuni anakukosesha furaha na upo na kiumbe chake unalea, girl stop it, focus kwenye ajira yako, Allah atakujaalia mume mwenye kheir na wewe,
InnaAllah Maasabirin (Mola yu pamoja na wenye kusubiri)

#FreeZuchu
Huna kazi za kufanya?
 
Kipenzi unajua Diamond alishasema, akiwa hamtaki mwanamke anamfanyia matukio, anaondoka mwenyewe. Sasa kishamaliza matukio yote bidada yupo, yaani Mond safari hii kakamatika.

Zuchu kishasema juzi haendi kokote, kujibu ujumbe wa Valentine's day. Hakujua Mond yale maneno ni kumchoma Misa, kuwa tangu kaanza kupenda, hajawahi penda kama anavyompenda Zuchu.
 
Back
Top Bottom