Diamond tafadhali muache Zuchu huru mbakie kwenye biashara pekee

Tatizo lenu kiasili mnapendaga bad boys/playboys unaweza ukakuta hata huyu unaye mshauri hakuelewi,so tatizo sio Diamond bali tatizo ni nyie jinsia yenu ya kike.
Upo sahihi ndio maana nikamtaka Mondi amuache yeye, amkatae, amsukume, amkemee yaani kiufupi atumie njia zozote ila mradi huyo binti abaki huru, majeraha yatapona na atarudi kua imara
 
Kwani kafanywaje sio kwa huu ushauri wa nguvu na makasiriko juu ya mpenzi wa mwenzio??
 
Pameanza kuchangamka... Adui wa mwanamke ni mwanamke
Utakuta huyu ni shogaake na zuchu kwa mbalii, sasa ameamua kujipa cheo cha kumshauri 😁
Ina maana yalotokea jana hujayaona!?
Namshauri sababu namuhurumia, hii sio sawa, alishavunja hadi vitu vya mpenzi wake kwa kuona kiss tu, je ya jana mtu analazwa kwenye kitanda chako, anabeba hadi mimba duh hapana
 
Upo sahihi ndio maana nikamtaka Mondi amuache yeye, amkatae, amsukume, amkemee yaani kiufupi atumie njia zozote ila mradi huyo binti abaki huru, majeraha yatapona na atarudi kua imara
Diamond alishasema kama hakutaki atakupiga matukio uondoke mwenyewe 😫Sasa Zuchu anataka kukomesha watesi huku anaumia mwenyewe. Zuchu ndo akate shauri asepe
 
Diamond alishasema kama hakutaki atakupiga matukio uondoke mwenyewe 😫Sasa Zuchu anataka kukomesha watesi huku anaumia mwenyewe. Zuchu ndo akate shauri asepe
Kweli, na ukute zile videos kamwambia yule binti avujishe makusudi ili suala la ndoa life, Zuchu anapaswa kujua thamani yake dah
 
Kwani kafungiwa na kamba hapo gheto kwa Mondi? Yeye mwenyewe amepapenda unataka aondoke ili wewe uchukue nafasi yake kwa Mondi? Bata wahed!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…