Mbona hiyo sio nyimbo maneno yake ni Audio ya pornograph"Mmh.....Nioneshe ninachotaka kuona!!"_________ "Alichokupa mama!!"
Lugha za huyu mtoto ni janga kwa watoto!!
Maisha yako hayana tofauti na ya marehemu OsamaNamlaumu sana kaka yangu kuishi Kigoma na akajifunza lingala then nikiwa mdogo nyimbo za Kizaire zikipigwa ananitafasiria maana yake!! Ndipo nilipokuja kugundua miziki na wanamziki wako DRC ya sasa. Sijawahi kudownload wimbo wowote wa bongo baada ya Ugali wa Juma Nature. Someni Kifaransa wakuu muenjoy nyimbo za maana za kina Koffi, Ferre, Fally, Werra,Fabregas au muendelee kusikiliza matusi
Tatizo ni umri wako mkuuNamlaumu sana kaka yangu kuishi Kigoma na akajifunza lingala then nikiwa mdogo nyimbo za Kizaire zikipigwa ananitafasiria maana yake!! Ndipo nilipokuja kugundua miziki na wanamziki wako DRC ya sasa. Sijawahi kudownload wimbo wowote wa bongo baada ya Ugali wa Juma Nature. Someni Kifaransa wakuu muenjoy nyimbo za maana za kina Koffi, Ferre, Fally, Werra,Fabregas au muendelee kusikiliza matusi
Maisha yako hayana tofauti na ya marehemu Osama
Mwanaume unaongelea taarabu nyie ndiyo kina young D tuHahahahaaaa brother niombe tu samahani maisha yasonge. Ukweli bro miziki ya Tz hasa ya kizazi hiki bora hata taarabu za Mzee Yusuph zilikuwa zinaweza kukufanya ukeshe kuliko nyimbo hizi sijui Tetema na upuuzi kibao. Unajua kwa sababu gani OTTU ya kina Tx Moshi William ilikuwa na mashabiki wengi means watu wazima na vijana? Ujumbe uliokuwa kwenye nyimbo uligusa maisha ya kila mmoja wetu yaani uwe tajiri,maskini, mwanafunzi, homeless n.k
Kaka sio kweli mkuu. Maudhui ya nyimbo za hawa wanamziki wenu hayatugusi maisha yetu plus mavaziTatizo ni umri wako mkuu
Usisahau OTTU nayo nimeongelea ili unapopotosha upotoshe kwa usahihiMwanaume unaongelea taarabu nyie ndiyo kina young D tu
Usi force watu wapende unachopenda ww...hii dunia kila mtu ana test yake.....alaf mkuu kumbe ww ni k....Kaka sio kweli mkuu. Maudhui ya nyimbo za hawa wanamziki wenu hayatugusi maisha yetu plus mavazi
Iyo Editing ndio iliyoitajika, angalia nyimbo za SIMI ndio utaelewa.Nimesema editor sio director
Ndiyo mkuu mimi ni KUsi force watu wapende unachopenda ww...hii dunia kila mtu ana test yake.....alaf mkuu kumbe ww ni k....
Unaposema madhui unamaanisha nini, nadhani mapenzi ni jambo kuu katika jamii unataka nini waongelee kwenda mwezini.Kaka sio kweli mkuu. Maudhui ya nyimbo za hawa wanamziki wenu hayatugusi maisha yetu plus mavazi
Pole sana bwana mdogo kwa kuzaliwa miaka ya 2000. Mapenzi kila mtu anayo ndio sababu baba na mama yako wakawa pamoja hadi leo hii uko hapa JF. Huwezi na haiingii akilini uishi kwa kuwekeza akili katika mapenzi kama ni hivyo basi pasingekuwepo kazi za Jeshi, Masister na watu single. Akili zimeshikizwa kwenye mapenzi na ndiyo sababu nyimbo hazidumu kwani kuna maisha nje ya mapenzi. Wewe kama umeoa au kuolewa nini tena kuhusu mapenzi tena kupitia nyimbo ambazo huwezi kuenjoy ukiwa na familia yako. Duh mdogo wangu usinifanye nianze kukutafasiria nyimbo za wakali kama akina JB Mpiana ambaye hadi sasa anakaribia miaka sita hajatoa wimbo mpya lakini show zake zinajaa watu kuja kusikiliza nyimbo zake za zamani maana zimebeba maudhui ambayo hayachujiUnaposema madhui unamaanisha nini, nadhani mapenzi ni jambo kuu katika jamii unataka nini waongelee kwenda mwezini.
Wazeee au watu kama nyie ndio munaowapoteza wasanii na maushauri yenu yakizwazwa | utasikia msanii aimbe maisha nyimbo ielimishe msanii asikuwa na upeo nae anafatisha mwisho anaimbia ndugu zake.Pole sana bwana mdogo kwa kuzaliwa miaka ya 2000. Mapenzi kila mtu anayo ndio sababu baba na mama yako wakawa pamoja hadi leo hii uko hapa JF. Huwezi na haiingii akilini uishi kwa kuwekeza akili katika mapenzi kama ni hivyo basi pasingekuwepo kazi za Jeshi, Masister na watu single. Akili zimeshikizwa kwenye mapenzi na ndiyo sababu nyimbo hazidumu kwani kuna maisha nje ya mapenzi. Wewe kama umeoa au kuolewa nini tena kuhusu mapenzi tena kupitia nyimbo ambazo huwezi kuenjoy ukiwa na familia yako. Duh mdogo wangu usinifanye nianze kukutafasiria nyimbo za wakali kama akina JB Mpiana ambaye hadi sasa anakaribia miaka sita hajatoa wimbo mpya lakini show zake zinajaa watu kuja kusikiliza nyimbo zake za zamani maana zimebeba maudhui ambayo hayachuji
Ok safi mkuu....siku zote nilikuwa najua ni men... kutokana na ugumu wa jina lako.... anyway no harm....memba wengine ni bushland...na Gyfsomwin...nulijua nao ni men kumbe sivyo....Ndiyo mkuu mimi ni K
Music is a universal language, huhitaji kujifunza lugha mpya ku-enjoy muziki mzuri. Pia kwenye huu wimbo sijasikia lugha ya matusi au ya kuudhi. Give credit where credit's due.Someni Kifaransa wakuu muenjoy nyimbo za maana za kina Koffi, Ferre, Fally, Werra,Fabregas au muendelee kusikiliza matusi
Music is a universal language, huhitaji kujifunza lugha mpya ku-enjoy muziki mzuri. Pia kwenye huu wimbo sijasikia lugha ya matusi au ya kuudhi. Give credit where credit's due.