Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nyimbo hii mbaya aliyotoa mpinzani wake ni Harmonize na ameshamwacha mbali mno,Diamond hana mpinzani mpaka anakufa.
Tatizo unakurupuka u know nothing acha mond aendelee kuwapiga tu, Nyimbo aliyoshirikishwa na King tee audio iko produced na Wasafi records chini ya laizer.
Ya sasa iko_produced na huyohuyo ila imeongezewa uzito ndani kuna saxophone
Ushabiki usikufanye uwe pofu...Me nimesikiliza nyimbo yote tena mara mbili na sijaskikia tusi wala sijaona phonographic video kama comment za humu kwenye uzi huu,
Watu wamefikia kujifanya wao ndio wanajua tafsiri zaid mfano "alichokupa mama" wao manaona ni papuchi tu hawajui hata tabia ni output ya huyo huyo mama kwenye malezi
Jamani huku JF tuache kufuata mkumbo tu, unavyo tumia nguvu kushusha kazi ambayo mwenzio ametolea jasho tena mbongo mwenzio basi huna tofauti na mchawi anaeloga,
Yani watu wameshindwa note hata jamaa anavyotumia nguvu kutangaza sehemu mbalimbali za nchi ambazo hata wengi wetu hatuzijui japo tupo hapahapa miaka yote
Shida yenu tubaki wote chini tuendelee kucheza bao...dah
#I Stand With Chibu
Acha uongoKwani wcb si nilisikia wana mtambo wa kuongeza views ?
Huu wivu wa Kilakala ni noma.VIWERS HEWA
HAKUNA WIVU MZEE HAPO N REALITYHuu wivu wa Kilakala ni noma.
Kuwa kama Msomi. Serv ya YouTube iko Marekani, nani anauwezo Huku TANZANIA ?Kwani wcb si nilisikia wana mtambo wa kuongeza views ?
YouTube ndyo wapi?Habari wapendwa!!
Kama tujuavyo Bwana chibu dangote adondosha wimbo mpya kwa jina unaitwa The one.
Cha ajabu huu wimbo umepigwa views Milioni moja kwa masaa 17 tu uko You Tubuni.
Baadhi ya wadau mbali mbali wanasemaj kaweka maroboti uko you tubuni wengine ananuna hao views.
Yote Tisa kuhusu huo wimbo wa the one Mimi nilikua nao na ninao mpaka sasa.
Umeandikwa hivi
King_Tee_Dee FT Diamond Platnumz-The One
Baada ya kufuatilia kule Wasafi TV waliurusha huu wimbo nilishangaa sana huu wimbo si kashirikishwa? Iweje Leo wakwake?
Au jamaa King_Tee_Dee alimuuzia huo wimbo Diamond Platnumz?
Inatakiwa King_Tee_Dee atuweke sawa kuhuxu hili swala.
Nawasilisha.
Kwa hiyo unataka kusemaje?View attachment 1079099View attachment 1079099
video za wasafi sikuiza ni masaa 17 views 1milion. waTanzania akili zetu tunazijua wenyewe.
Uongo mkuufungua sasa hivi K24 uoneNasikia kenya kakatazwa nyimbo zake kuimba hivi ni kweli
Tatizo hawana fan base kubwa kama WCB
King's music watabaki kuwa juu
Mzee hata mahakama kuna wakati hupelekewa kesi za kutafsiri katiba maana uliyoielewa si lazima wote tuelewe hivyoKuna wimbo alishirikishwa akaimba "weka mate nteleze, kama nyoka pangoni" hayo maneno hayana ukakasi wowote kimatamshi. Ila kimantiki maudhui ya maneno hayo huwezi yasikiliza ukiwa pamoja na binti yako aliyefikia umri wa usichana!!
Pia maneno kama "Kwetu nyege-nyegezi" hayo maneno kilugha hayana tatizo lolote, ila muimbaji kafanya kigegezi makusudi ili kuipata maudhui ovu aliyoikusudia...
WCB wanafanya mambo ki professional zaidi hadi walipo fikia saivi sio padogo, ile ni kampuni na lazma inamikataba ya wasanii wanaokuja hapo studio kwao na huyo mnamibia itakuwa kashindwa makubalino ya hilo biti ndio maana mondi kalichukuaWimbo kamuibia star wa namibia aibu tupu, diamond kaishiwa
Kwa Mange Kimambi Los Angeles.YouTube ndyo wapi?