Diamond, The one!!

Diamond, The one!!

Nasikia kenya kakatazwa nyimbo zake kuimba hivi ni kweli
 
Domo hana tofauti na huyu jamaa
57439979_129610394809957_3524995270175008816_n.jpg
Tatizo unakurupuka u know nothing acha mond aendelee kuwapiga tu, Nyimbo aliyoshirikishwa na King tee audio iko produced na Wasafi records chini ya laizer.

Ya sasa iko_produced na huyohuyo ila imeongezewa uzito ndani kuna saxophone
 
Me nimesikiliza nyimbo yote tena mara mbili na sijaskikia tusi wala sijaona phonographic video kama comment za humu kwenye uzi huu,

Watu wamefikia kujifanya wao ndio wanajua tafsiri zaid mfano "alichokupa mama" wao manaona ni papuchi tu hawajui hata tabia ni output ya huyo huyo mama kwenye malezi

Jamani huku JF tuache kufuata mkumbo tu, unavyo tumia nguvu kushusha kazi ambayo mwenzio ametolea jasho tena mbongo mwenzio basi huna tofauti na mchawi anaeloga,

Yani watu wameshindwa note hata jamaa anavyotumia nguvu kutangaza sehemu mbalimbali za nchi ambazo hata wengi wetu hatuzijui japo tupo hapahapa miaka yote

Shida yenu tubaki wote chini tuendelee kucheza bao...dah

#I Stand With Chibu
Ushabiki usikufanye uwe pofu...
 
Habari wapendwa!!
Kama tujuavyo Bwana chibu dangote adondosha wimbo mpya kwa jina unaitwa The one.
Cha ajabu huu wimbo umepigwa views Milioni moja kwa masaa 17 tu uko You Tubuni.
Baadhi ya wadau mbali mbali wanasemaj kaweka maroboti uko you tubuni wengine ananuna hao views.
Yote Tisa kuhusu huo wimbo wa the one Mimi nilikua nao na ninao mpaka sasa.
Umeandikwa hivi
King_Tee_Dee FT Diamond Platnumz-The One

Baada ya kufuatilia kule Wasafi TV waliurusha huu wimbo nilishangaa sana huu wimbo si kashirikishwa? Iweje Leo wakwake?

Au jamaa King_Tee_Dee alimuuzia huo wimbo Diamond Platnumz?

Inatakiwa King_Tee_Dee atuweke sawa kuhuxu hili swala.

Nawasilisha.
YouTube ndyo wapi?
 
Kuna wimbo alishirikishwa akaimba "weka mate nteleze, kama nyoka pangoni" hayo maneno hayana ukakasi wowote kimatamshi. Ila kimantiki maudhui ya maneno hayo huwezi yasikiliza ukiwa pamoja na binti yako aliyefikia umri wa usichana!!
Pia maneno kama "Kwetu nyege-nyegezi" hayo maneno kilugha hayana tatizo lolote, ila muimbaji kafanya kigegezi makusudi ili kuipata maudhui ovu aliyoikusudia...
Mzee hata mahakama kuna wakati hupelekewa kesi za kutafsiri katiba maana uliyoielewa si lazima wote tuelewe hivyo
 
sasa
Wimbo kamuibia star wa namibia aibu tupu, diamond kaishiwa
WCB wanafanya mambo ki professional zaidi hadi walipo fikia saivi sio padogo, ile ni kampuni na lazma inamikataba ya wasanii wanaokuja hapo studio kwao na huyo mnamibia itakuwa kashindwa makubalino ya hilo biti ndio maana mondi kalichukua

BIASHARA NA DAFTARI BRAZA
 
Back
Top Bottom