Diamond, The one!!

Diamond, The one!!

Namlaumu sana kaka yangu kuishi Kigoma na akajifunza lingala then nikiwa mdogo nyimbo za Kizaire zikipigwa ananitafasiria maana yake!! Ndipo nilipokuja kugundua miziki na wanamziki wako DRC ya sasa. Sijawahi kudownload wimbo wowote wa bongo baada ya Ugali wa Juma Nature. Someni Kifaransa wakuu muenjoy nyimbo za maana za kina Koffi, Ferre, Fally, Werra,Fabregas au muendelee kusikiliza matusi
Maisha yako hayana tofauti na ya marehemu Osama
 
Tatizo ni umri wako mkuu
 
Hahahahaaaa brother niombe tu samahani maisha yasonge. Ukweli bro miziki ya Tz hasa ya kizazi hiki bora hata taarabu za Mzee Yusuph zilikuwa zinaweza kukufanya ukeshe kuliko nyimbo hizi sijui Tetema na upuuzi kibao. Unajua kwa sababu gani OTTU ya kina Tx Moshi William ilikuwa na mashabiki wengi means watu wazima na vijana? Ujumbe uliokuwa kwenye nyimbo uligusa maisha ya kila mmoja wetu yaani uwe tajiri,maskini, mwanafunzi, homeless n.k

Mwanaume unaongelea taarabu nyie ndiyo kina young D tu
 
Unaposema madhui unamaanisha nini, nadhani mapenzi ni jambo kuu katika jamii unataka nini waongelee kwenda mwezini.
Pole sana bwana mdogo kwa kuzaliwa miaka ya 2000. Mapenzi kila mtu anayo ndio sababu baba na mama yako wakawa pamoja hadi leo hii uko hapa JF. Huwezi na haiingii akilini uishi kwa kuwekeza akili katika mapenzi kama ni hivyo basi pasingekuwepo kazi za Jeshi, Masister na watu single. Akili zimeshikizwa kwenye mapenzi na ndiyo sababu nyimbo hazidumu kwani kuna maisha nje ya mapenzi. Wewe kama umeoa au kuolewa nini tena kuhusu mapenzi tena kupitia nyimbo ambazo huwezi kuenjoy ukiwa na familia yako. Duh mdogo wangu usinifanye nianze kukutafasiria nyimbo za wakali kama akina JB Mpiana ambaye hadi sasa anakaribia miaka sita hajatoa wimbo mpya lakini show zake zinajaa watu kuja kusikiliza nyimbo zake za zamani maana zimebeba maudhui ambayo hayachuji
 
TRS012-SS19M_1.png

Hii ni fashion za mashoga, ila sina maana jamaa shoga,
 
Wazeee au watu kama nyie ndio munaowapoteza wasanii na maushauri yenu yakizwazwa | utasikia msanii aimbe maisha nyimbo ielimishe msanii asikuwa na upeo nae anafatisha mwisho anaimbia ndugu zake.

Ifikie wakati tuongee mantiki zinazoonekana practical sio unafikili kwa vidole na ku-type, Angalia Darasa kuna mtu aliimba ayo mafunzo na maisha kama yeye akipata nini kaja kuimba “Safari na mziki" “Too much" nk watu ndio wamemuelewa, 20 pacent kaimba maisha weeh ayupo, Bestnaso kaimba maisha maishaaa ayupo, kwahiyo ifike mahari tuongee vitu practicable sio kuleta ukoloni ukoloni kwenye sanaa.
 
Namibia kawakosea nini.. wanalalamikia dee juu ya huu mwimbo?
 
Someni Kifaransa wakuu muenjoy nyimbo za maana za kina Koffi, Ferre, Fally, Werra,Fabregas au muendelee kusikiliza matusi
Music is a universal language, huhitaji kujifunza lugha mpya ku-enjoy muziki mzuri. Pia kwenye huu wimbo sijasikia lugha ya matusi au ya kuudhi. Give credit where credit's due.
 
Sijausikilza sababu tu sio aina ya miziki yangu. Hongera kwake na hongeara kwa mashabiki zake

Back
Top Bottom