Diamond, The one!!

Aisee nimecheka sana[emoji23][emoji23] hiki kizazi cha akina Amber Rutty mnanifurahisha sana
 
I like the location ,Magoroto Tanga ,I wish to visit this place one day
The breathtaking view!!
 
Alichompa mama sasa tusi lipo wapi, munafosi ili ukosoe MTU watu wapuuzi.
Matusi sio lazima utamke kiungo cha matusi kwa jina lake, hata maudhui tu inatosha kutafsiri tusi.
Hujui mtu aweza kukutusi kwa ishara tu bila kutamka chochote?
Halafu usikimbilie kumuona mtu mpuuzi eti kwakuwa katoa maoni tofauti na mtizamo wako mkuu!!
 
Kwahiyo hakukuwa na haja ya kutoa maoni yenye kuonyesha chuki kwenye kitu ambacho haujasikiliza na wala hujui maudhui yake.
Hahahaaa aisee nyie watu jitahidini msikilize nyimbo na sio miziki
 
Music is a universal language, huhitaji kujifunza lugha mpya ku-enjoy muziki mzuri. Pia kwenye huu wimbo sijasikia lugha ya matusi au ya kuudhi. Give credit where credit's due.
Kuna wimbo alishirikishwa akaimba "weka mate nteleze, kama nyoka pangoni" hayo maneno hayana ukakasi wowote kimatamshi. Ila kimantiki maudhui ya maneno hayo huwezi yasikiliza ukiwa pamoja na binti yako aliyefikia umri wa usichana!!

Pia maneno kama "Kwetu nyege-nyegezi" hayo maneno kilugha hayana tatizo lolote, ila muimbaji kafanya kigegezi makusudi ili kuipata maudhui ovu aliyoikusudia...
 
Mkuu wimbo wako ni mzuri ila hao jamaa wa NAMIBIA wameapa kukufanyia kitu mbaya sana asee!
 
King tee dees wa NAMIBIA ndo mtunzi nasikia afu mond kambwaga kiaina asee!
Huku NAMIBIA wamemind kinoma
 
Wimbo wa kawaida sana..

Acha niendelee kusikiliza

√Zeze ya JayMelody

√Inatosha ya Marioo

√Mafanikio Fid q ft Baraka de prince
Nyimbo za tz hizi sio international, jaribuni kumuelewa Mond please.
 
Mimi kwa mtazamo wangu wimbo mbaya!
Binafsi nahisi namkosa yule diamond wa @My number one original& remix
nana na nyingine za kipindi hicho!

Huu wimbo kwangu hapana!!
Kwa mtu anayesikiliza genre mbalimbali lazima akubali kuwa wimbo huu ni mbaya..
 
Huo ni mtaa gani wazee... Boda nyanya vitunguu....
!??
Dahh... Lakin bado imekua tamu zaidi
 
What a presentation of African Culture...

Ohh... Our culture is so rich.. Tizameni hiyo nature....flora n fauna....african beauties... But the most important of all is the localities, the economic activities done by the low class...local markets...!!!

Huyu director ni nani!? Si akili za Afrika hizi.

Tarajieni vazi la vitenge kushamiri zaidi ya ilivyo sasa.

PlatNumzz ... Emejensiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…