Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,116
- 8,652
Aisee nimecheka sana[emoji23][emoji23] hiki kizazi cha akina Amber Rutty mnanifurahisha sanaWazeee au watu kama nyie ndio munaowapoteza wasanii na maushauri yenu yakizwazwa | utasikia msanii aimbe maisha nyimbo ielimishe msanii asikuwa na upeo nae anafatisha mwisho anaimbia ndugu zake.
Ifikie wakati tuongee mantiki zinazoonekana practical sio unafikili kwa vidole na ku-type, Angalia Darasa kuna mtu aliimba ayo mafunzo na maisha kama yeye akipata nini kaja kuimba “Safari na mziki" “Too much" nk watu ndio wamemuelewa, 20 pacent kaimba maisha weeh ayupo, Bestnaso kaimba maisha maishaaa ayupo, kwahiyo ifike mahari tuongee vitu practicable sio kuleta ukoloni ukoloni kwenye sanaa.